CCM kuweni waangalifu, Chama kimetekwa na serikali?

Mimi naona serekali ndo imetekwa na chama.
 
Kuna Wapuuzi wanaoshangilia huu upuuzi wa Jiwe kuishindanisha Vyama vya Upinzani na Serikali. Badala ya Upinzani vs CCM.

Wajiandae kujifuta machozi wenyewe maana kila mmoja wao atakuja kulia mwenyewe.
 
Soma mada uelewe. Mtoa mada alimaanisha nini. Mchakato mzima wa chama umegeuzwa kuwa wa Serikali.
 
Soma mada uelewe. Mtoa mada alimaanisha nini. Mchakato mzima wa chama umegeuzwa kuwa wa Serikali.

,,Katika kampeni tunazoziona Mwenyekiti wa chama hana tofauti na rais wa dola.
Analindwa, tena kwa mitutu wazi wazi, na vyombo vya dola, ... ''


Haya nieleweshe wewe uliyeelewa alichomaanisha kwenye hiyo sentensi hapo juu, ...
 
Haya unayoyaona yanafanyika leo adhari zake zitakuwa wazi sana 2025. Ccm haitaweza tena kusimama yenyewe
 
Hajasema aondolewe ulinzi. Lakini style ya ulinzi huo tofauti na hajanyimwa kutumia usafiri wa serikali Bali chama kinapaswa kuulipia.

Umewahi kuona Hilo beast limekuwa branded na colour za Republican? Je unatambua msafara wake wote unalipwa na chama maana hizo sio shughuli za serikali? Unatambua wadau wote wa vyombo vya ulinzi hawatakiwi kuwa na mahusiano yeyote na chama, Hawa wamevaa mpaka date zao.
 

Kwa nini Chama kilipie ulinzi na usafiri wa Raisi wa JMTZ? Raisi D. Trump akienda kwenye Kampeni kutumia ndege Air force one anayelipia hiyo gharama ni Chama chake au Serikali ya USA?

Nafikri mnasaha ukwamba Mgombea wa CCM ni Raisi wa JMTZ, hivyo popote anapokwenda na haijalishi mazingira gani anakwenda kama Raisi wa nchi kwanza na hayo mengine baadaye, ...
 
Boss Kama hujui omba kueleweshwa.

Kampeni sio shughuli ya kiserikali hivyo hupaswi kutumia mali ya umma kufanya kampeni, Soma hata kanuni za maadili zinakataza. Je wale waiokuwa na serikali jioni watakuwa hawajatendewa haki? Hii ndio maana usitumie Mali ya umma kwa shughuli binafsi au za chama.

Pili hata marekani Rais anapotumia rasilimali za umma kwa private business au party business anapaswa kuzilipia.

Mali za umma ni pamoja na walinzi wake, magari/ndege etc. Soma acha kusikia story za vijiweni
 
Umeongea vitu vya maana sana mzee wangu. Wenye kuelewa wameelewa
 

Kwa hiyo Raisi wa USA D.Trump akienda kufanya kampeni kutumia Air force one na magari ni Chama chake ndiyo kinalipia hiyo gharama? isitoshe unapokuwa Raisi wa nchi kama TZ au USA hakuna kitu kama ,,private business'' na ndo maana D.Trump akienda kucheza Golf anakwenda kama Raisi wa USA na analindwa full na Serikali ya USA hata hapa kwetu ni hivyo hivyo hakuna kitu kama ,,private business'' kwa Raisi wa JMTZ, usalama wake na maisha yake ni jukumu la Serikali na ni 24/7, ...
 
Kwa sacrifice aliyoifanya magufuli.kupambana na mafisadi .magaidi
Asipolindwa vzur usalama wake wa maisha ni mdogo sana....kwahyo wew uko tayar rais adhurike kisa wew umetaka....pumbaf.u
Kupambana na mafisadi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…