CCM kuweni waangalifu, Chama kimetekwa na serikali?

Ni aibu kwa chama kikubwa Kama CCM kilichopigania Uhuru kusini mwa bara la Africa kushinda kwa kutegemea wizi wa kura.Narudia tena kusema ni aibu kubwa.CCM rudini mjitafakari kwamba mmekosea wapi?
 
Na Uhakiki uliyeandika utakuwa siyo mjumbe wa Kamati ya Makubaliano ya Amstardam (Kuukubali Ushoga), na uhakiki utakuwa siyo uloyekuwa umepewa Rushwa na akashia ili Makinikia yaondoke kwenda Ulaya bila Ukaguzi wa Serikali kujiridhisha, na uhakika utakuwa siyo wewe uliyekubali kwamba wewe ni shoga , na uhakika utakuwa siyo wewe uliyebisha kam Covid-19 Tanzania imeisha ili uwafurahishe uliowatuma, na uhakika ni wewe unayepita Flyover lakini unasema haifai.
NB: Lazima utakuwa unaliwa mboga. Watanzania hatutaki bishara ya ushoga kama unaitaka nenda katestiane na Mbowe 😎😎😎😎
 
Sibishani na layman
 

..Yap!!

..Donald Trump akitumia Air Force One kwa shughuli za kampeni chama chake kinalipia gharama.

..Hata wanaomsaidia Donald Trump ktk kampeni ni tofauti na wanaofanya kazi Ikulu ya Marekani.

..Ulinzi wa Raisi unatakiwa ubaki, lakini matumizi mengine ya watumishi na rasilimali za serikali yanatakiwa yasitishwe.
 
Na serikali imetekwa na Chama, watoto
wa mjini wanasema mbwa kala mbwa
 
Kwa nini basi asiende ndani ya vifaru?
Hapo ulinzi 100%

Tatizo sijui kama umeielewa mada!
 
Chama kimekuwa mali ya jiwe siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…