CCM kuweni waangalifu, Chama kimetekwa na serikali?

Hili ni tatizo ambalo ukiwa kiongozi ni vigumu sana kulielewa.
Mwalimu alikuwa na katabia kale ka kucheza bao na waswahili wake pale Msasani.
Walikuwawakimtonya mengi sana ya mitaani na kumuasa.

Ni rahisi kwa kiongozi sasa hivi ku loose touch na the common mana.
 

Hapo vipi?
 
Tuache kwanza, tuna jambo letu 28 October.
 
Hii lazima imwagwe
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu ngosha ndio amekuja kumalizia mazishi ya hichi chama cha mafisiem maana haijui siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…