Pre GE2025 CCM kuzunguka na Msigwa eti kusema mabaya ya Mbowe ni ukosefu wa Hoja na sera. Wananchi tuna Agenda zetu muhimu kitaifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.

Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.

Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.

Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
 
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa. Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote,kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma,ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa,maisha magumu na elimu bora. Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago. Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
Labda wamehisi kuwa mbowe atagombe urais wanataka kumchafua ili awe na kashifa kwa wapiga kura
 
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.

Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.

Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.

Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu, inasikitisha kuwa na Msigwa naye kaingia kwenye kundi hilo.
 
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.

Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.

Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.

Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
NI UJINGA wa kiwango cha juu Chama Tawala kinatakiwa muda wote kushughulikia shida na matatizo ya wananchi.Je wananchi wanashida ya kusikia Matusi ya Msigwa akiwatukana Chadema? Ni siasa za kishamba
 
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.

Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.

Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.

Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
Wakizunguka naye,
1. Sukari itashuka bei.
2. Ile 2,000/- ya kwenye LUKU iliyokanwa na kila mmoja, itajulikana ni ya nani.
3. Wale wa kwenye ripoti ya SAG wote watashitakiwa na kufukuzwa kazi.
4. Wasiojulikana watajulikana
 
Makalla Mwenezi aangalie sana mazingira ya siasa za sasa za hapa nchini na uelewa wa wananchi. Wazungumze sera vinginevyo wampe cheo chake fasta walichomuahidi atulie kama Mashinji maisha yaendelee. wananchi tunaendelea kuhoji maisha magumu,ubadhilifu ,kodi kubwa ukosefu wa maji safi na salama,kusimama kwa miradi nchi nzima. Hayo ndiyo tunataka Msigwa na Makalla wake au Nchimbi wayazungumzie ili awasaidie kujieleza na ahalalishe cheo atakachopewa na udhaifu wa mwenezi wa sasa kumudu jukwaa.
 
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.

Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.

Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.

Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
Siku ukiijua siasa utaacha kulalamika kama vile umechukuliwa mke

Naam, ndivyo siasa ilivyo adui mwombee njaa, na kwenye udhaifu wake piga kwenye mshono
 
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.

Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.

Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.

Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
namsikitikia musigwa masikini utaona tu baada ya kuzunguka naye mikutano mitatu au mitano hivi wakiona siyo asset watamtelekeza kwenye misitu ya katavi
 
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.

Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.

Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.

Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
Mbona unaweewesekaa. Mbona kipindi kile cha akina lowasa na makada wengi wa ccm walipojiunga na chadema hamkuwafungia ndanii? Fikilia wazee kama akina kingunge mbona chadema iliwazungusha katika kampeni zao na walipokuwa wanawazungusha, jeee walikuwa wakiisemea ccm vizuriii?? Tulieni siasa ndivyo ilivyooo. Mwacheni msigwa akaujulishe uma wa watanzania madhaifu na mazuri ya huko kwenu. Vumilieni ndivyo siasa ilivyooo. Sawaa bwasheee
 
Siyo kila adui unamuombea njaa na siyo kila mara upige kwenye mshono ndipo ushindi upatikane. Kila taasisi ina weakness na strength. Usifunike makosa ya CCM kwa madhaifu ya chadema. Madhaifu ya watawala ni hatari zaidi kwa vile wako madarakani. waambiwe
 
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.

Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.

Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.

Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
Heko ndugu👋. Umetoa hoja sahihi kabisa. Huyu macho kulegea Nchimbi ni kibaraka wa marekani juu kabisa kwenye ngazi ya ccm. Anachotaka ni kuleta siasa za porojo huku mambo ya kimsingi yakiwekwa pembeni na dhuluma kwa umma na wanyonge kukosa haki yakiwa mambo yanaendelea. Utamsikia oooh ni desturi ccm kumuachia kiongozi kuendelea bila kumpinga. Ukweli hii lineup ya uongozi wa mama ccm sio ya kimapimduzi kabisa kama jina la ccm linavyodai. Ccm isijisahau, ni chama cha kupigania haki na usawa kijamii na kiuchumi. Kama wameacha hayo malengo wananchi watakitupa mkono.
 
Siyo kila adui unamuombea njaa na siyo kila mara upige kwenye mshono ndipo ushindi upatikane. Kila taasisi ina weakness na strength. Usifunike makosa ya CCM kwa madhaifu ya chadema. Madhaifu ya watawala ni hatari zaidi kwa vile wako madarakani
 
Back
Top Bottom