Elections 2010 CCM kwa hili tusilaumiane

Elections 2010 CCM kwa hili tusilaumiane

Sio hivyo tu, na biashara zake anazoshirikiana na waarabu akiwa ikulu?
 
Mwanzilishi wa thread ameanza kwa kuunga mkono hoja ya kutoingiza maisha ya binafsi ndani ya kampeni za kisiasa.Pili amelalamikia vyombo vya habari vya RA kwa kufanya hivyo.Tatu anamjulisha JK kuwa hawala yake kwa jina la Eva yuko mahututi hospitali,akifika Arusha kwenye kampeni aende kumjulia hali.

Mimi nimemuelewa hivyo au vipi?
 
Sio hivyo tu, na biashara zake anazoshirikiana na waarabu akiwa ikulu?
Wakubwa wengi wanapenda kufanya biashara na Waarabu wanpokuwa Ikulu,hata Col.Gadafi yule mwarabu wa Libya na Belesconi wa Italia wako kwenye mipango ya biashara.
Umasikini ni tatizo kubwa.Kila mara tunapohisi njaa tunatafuta sababu za kupumulia.Kwani Waarabu hawahitajiki kuweka mitaji yao kama Wazungu,Wachina,Wakorea,Wajapani ,Wasauzi,Wahindi n.k wanavyofanya?
 
hivi na yule binti wa asas (mwenye kampuni ya maziwa ) ni kiburudisho chake pia?
Je! Waliwahi kuvinjari naye ruaha park wakati fulani?

Ni maswaala tu ...hapana ni maswali tu.


hili suala kwa iringa lipo wazi sana tuuu...
 
Kwa upande wangu nimemulewa vizuri sana Masasi but no comments!
 
Tulipeana onyo kuhusu kutoingiza maisha binafsi ya mtu na kampeni za uchaguzi wa mwaka huu ktk ngazi yoyote ile,tulitoa rai pia hata kwa vyombo vya habari vyenye mtazamo wa kuandika maisha binafsi ya watu waache mara moja,inaonekana huu ni mkakati maalumu wa chama hiki kizee na hata wizara husika imekaa kimya juu ya vyombo hivyo vyenyye kuingilia maisha binafsi ya watu tena vinavyomilikiwa na rostam kada wa ccm na kinara wa wizi wa epa,leo wameendelea kuandika maisha binafsi ya dr slaa huku wakisahau onyo la baraza la habari tanzania kuhusu miiko ya uandishi,wanasema akuanzae mmalize,huyo mgombea wao kama alikuwa hana taarifa,wampe sasa ya kuwa eva wa arusha afya yake ni mbaya na yupo kitandani kwa sasa hoi taabani,ukiwa arusha kwenye kampeni zako jaribu kumtafuta kwani hawala hana talaka.

Hee unataka kuniambia JK amefunga ndoa na ARV na sasa zinampelekesha mpaka ana faint!
 
Eh huko sasa mi simo,ngoja nichukue jembe nikalime
 
Back
Top Bottom