Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Dr.Kigwangwala yuko SAHIHI....Naaani wa kumtosa? Naaani wa kuthubutu kumgusa mwenyekiti? Hajazaliwa bado!! [emoji116][emoji116][emoji116] Ishi humo!!
Endelea kuota....Kumtoa samia au kutoka yenyewe
Exquisite [emoji2956][emoji7][emoji106][emoji123]Alposema anakwenda kuifungua nchi baadhi yetu hatukumuelewa. Na mpaka muda huu hatumuelewi pia.
Watanzania hatupendi kutoka katika eneo letu linalotupa amani, kwa kingereza wanaita comfort zone.
Hatukubali changamoto mpya na akili yetu ni ile ile ye juzi na jana. kwamba leo inahitaji kuchangamka vichwani mwetu hilo hata hatulioni.
Samia anafanya kile ambacho marehemu JPM angekifanya ikiwa angekuwa hai mpaka muda huu, ndio maana ya KAZI IENDELEE.
Tazama hata baadhi ya watendaji wa wizara ni wale wale wa awamu ya tano,,
Kadogosa ni yule yule wa TRC awamu ya tano. Hamza Johari ni yule yule wa TCAA awamu ya tano, hiyo ndio maana ya kuendeleza kazi iliyokwisha kuanza.
Kuleta mwekezaji bandarini ni kuendana na ushindani wa bandari zinazotuzunguka. Tukumbuke kuwa wateja wa mataifa yanayotumia bandari yetu hutoa mrejesho wa aina mbovu za huduma wanazozipata pale TPA.
Ni lazima serikali ijiongeze katika suala zima la ufanisi. Hivyo kwa watu tunaotazama masuala kwa kina hatuoni namna ambavyo serikali itakwenda kushindwa huko mahakamani na kwenye utekelezaji mzima wa wizara ya uchukuzi.
Hayo mengi mnayokuja nayo yanatokana na jinsia yake, hakuna aliyetegemea kuwa safari ya JPM ingemalizika March 2021.
RIP bandari 😭Nchi imechafuka, wananchi wamekasirika kwa kuwa wameujua ukweli kwamba CCM na Serikali yake si rafiki, ni adui yao,na haiwezi kabisa kuwafikisha Kanani, nchi ya maziwa na asali. CCM kwa sasa ina options mbili tu,au imtose Samia na wenzake waliotufikisha hapa ianze upya, au iikose Ikulu 2025.
Ni ukweli usiopingika, kwamba nchi yetu haijawahi kuwepo katika sintofahamu ya namna hii tangu tupate Uhuru wetu mwaka 1961. Ndio CCM na serikali zake mbali mbali zimetufanyia mambo mengi mabaya:Vijiji vya Ujamaa; kutaifisha mali za walioitwa wanyonyaji na hatimaye kuharibu uchumi wa nchi kabisa; mikataba mingi mibovu: MEREMETA, KAGODA, SYMBION, IPTL, ATCL, TRC nk., lakini nchi haijawahi kukosa amani na Wananchi wakalalamika na kulichukua serikali yao kiasi hiki.
Hii ni kwa nini? Ni kwa sababu wananchi wamekosa imani kabisa na mfumo mzima wa utawala. Hawana imani tena na utawala wowote wa CCM na Serikali zake,wanataka mabadiliko chanya. Unaweza ukauvuta mpira kwa kiasi fulani, lakini hatimaye unafikia ukomo wa kuvutika na kukatika.Ndio, Watanzania wamefikia ukomo wa uvumilivu.CCM sasa ina chaguzi mbili tu ili angalau kujisafisha:au iachane na Samia na kufanya kama kile kilichofanyika Uingereza kwa kuachana na Waziri Mkuu Boris Johnson na kumuweka Waziri Mkuu wa sasa Rishi Sunak madarakani,au iparaganyike kabisa na kupotea kwenye ulingo wa siasa, huku ikisubiri uchaguzi mkuu 2025.Ndio uaminifu na heshima ya wananchi kwa CCM vimeshashuka sana, lakini angalau wananchi wataona kwamba CCM imetambua makosa yake na iko tayari kujirekebisha.
Ni nini kimeibua yote haya. Hakuna shaka yeyote kwamba mkataba mbovu wa DP World ambao kwa kipimo chochote ni mkataba mbovu,ndio uliofukua makaburi. Legal Human Rights Centre(LHRC) wamesema bila kumung'unya maneno, kwamba mkataba huu una matatizo mengi.
Katibu Mkuu wa CCM Comrade Chongolo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Comrade Kinana nao wameonyesha wasi wasi wa wazi katika mkataba huu.
Sababu zinazotolewa na mamlaka za kutafuta muwekezaji kwenye bandari zetu wanasema ni kama ifuatavyo:
1.Watanzania ni wezi.Sababu hii si ya msingi sana,kwa kuwa kama walioajiriwa Bandarini ni wezii,wangefukuzwa na kuajiriwa wengine.Isitoshe Watanzania tupo million sitini(60) na zaidi,naamini kusinge-kosekana Watanzania waaminifu.Naomba niseme hivi sababu hii ambayo so ya kweli, imetudhalilisha Sana Watanzania kwenye jamii ya kimataifa.Katika jamii yeyote wezi wapo,si ajabu.Sasa kusema Watanzania ni wezi ni kutufhalilisha,kwa hiyo katika hili, tunaomba tuombwe msamaha.
2.Watanzania hawana weledi wa kuendesha bandari.Inawezekana hii ni kweli,lakini kama ni kweli,CCM na serikali zake mbali mbali tangu Uhuru wanahusika moja kwa moja katika tatizo hili kwa kuwa imehusika moja kwa moja katika kuharibu Elimu.Kulikuwa na sababu gani za msingi kwa mfano za kutumia waalimu wa Darasa la Saba.Kulikuwa na sababu gani za kuwa na Elimu ya UPE(Universal Primary Education).Kwa nini na mitaala mibovu.Kuna haha gani ya kubadilisha mitaala kila wakati na hivyo kukosa consistency.Kuna sababu gani ya msingi ya kuajiri waalimu wa Division IV tena,wa course ya ualimu mwaka mmoja tu.Kulikuwa na ulazima gani na haraka gani ya kuanzisha Shule za kata na mengine mengi. Jibu ni moja tu kuharibu elimu,ili kusiwe na watu wenye weledi wa kusimamia rasilimali zao na maendeleo ya nchi yso.
Kumekuwa na harakati nyingi kutoka CCM na serikali yake kuutetea mkataba huu kati ya Serikali na DP World. Hata hivyo kama nilivyokwisha sema mkataba huu kwa kipimo chochote haufai,kwa hiyo kimsingi hakuna sababu yeyote ya kuendelea kuutetea na kulazimisha kuutekeleza kwa kuwa wananchi hawautaki,na sababu kwa nini hawautaki iko wazi,hauna maslahi kwa Taifa lao.Kuendelea kufanya hivyo ni kuendelea kuwatia wananchi hasira na ningeishauri CCM iache.
Hapa naomba niwe muwazi,Watanzania hawakatai uwekezaji katika bandari zetu,au hata bandari ya Dar es Salaam, wanachokataa ni uwekezaji usio na maslahi kwao.
Hahahaaa, kwa jina la nani? Ila mwenzio katumia herufi kubwa, inawezekana ana maana ngumu hivi.Ndo mnavyojidanganya sio? Mtasubiri sana
Samia hadi 2030 kwa Jina la Yesu
Acha kutamka jina la Yesu ktk vitu vya hovyo.Ndo mnavyojidanganya sio? Mtasubiri sana
Samia hadi 2030 kwa Jina la Yesu
Nani mwizi na fisadi?Acha kutamka jina la Yesu ktk vitu vya hovyo.
Unaweza tumia jina la bar yesu. Mungu wa kweli hana urafiki na majizi haya mafisadi na matapeli yanayoweza kuuza nchi na utu wao kwa vipande vya fedha.
labda yesu na sio Yesu.Ndo mnavyojidanganya sio? Mtasubiri sana
Samia hadi 2030 kwa Jina la Yesu
Mimi nimetaja Yesu, Bwana na Mwokozi wangulabda yesu na sio Yesu.
Wa kwangu ulikuwa ushauri tu,ili msiishie kwenye dustbin.Wengi walikuja na kupita,na CCM no doubt itapitaa.Sisi wanaccm kindakindaki na tunaokijua chama, aiseee tukisoma wishes za wapiga ramli huwa tunacheka Sana. Take it from me, Samia is only and one atayechukua fomu kuomba ridhaa ya kuongoza nchi ngwe ya pili, na hakuna wa kumshinda dk Samia na ndiye Rais mpaka 2030 kila mwanaccm anayekijua chama analifahamu hili.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayetoa kura yake kwa Chama kilichotufikisha hapa tulipo yaani ni wizi kila mahali.Nchi imechafuka, wananchi wamekasirika kwa kuwa wameujua ukweli kwamba CCM na Serikali yake si rafiki, ni adui yao,na haiwezi kabisa kuwafikisha Kanani, nchi ya maziwa na asali. CCM kwa sasa ina options mbili tu,au imtose Samia na wenzake waliotufikisha hapa ianze upya, au iikose Ikulu 2025.
Ni ukweli usiopingika, kwamba nchi yetu haijawahi kuwepo katika sintofahamu ya namna hii tangu tupate Uhuru wetu mwaka 1961. Ndio CCM na serikali zake mbali mbali zimetufanyia mambo mengi mabaya:Vijiji vya Ujamaa; kutaifisha mali za walioitwa wanyonyaji na hatimaye kuharibu uchumi wa nchi kabisa; mikataba mingi mibovu: MEREMETA, KAGODA, SYMBION, IPTL, ATCL, TRC nk., lakini nchi haijawahi kukosa amani na Wananchi wakalalamika na kulichukua serikali yao kiasi hiki.
Hii ni kwa nini? Ni kwa sababu wananchi wamekosa imani kabisa na mfumo mzima wa utawala. Hawana imani tena na utawala wowote wa CCM na Serikali zake,wanataka mabadiliko chanya. Unaweza ukauvuta mpira kwa kiasi fulani, lakini hatimaye unafikia ukomo wa kuvutika na kukatika.Ndio, Watanzania wamefikia ukomo wa uvumilivu.CCM sasa ina chaguzi mbili tu ili angalau kujisafisha:au iachane na Samia na kufanya kama kile kilichofanyika Uingereza kwa kuachana na Waziri Mkuu Boris Johnson na kumuweka Waziri Mkuu wa sasa Rishi Sunak madarakani,au iparaganyike kabisa na kupotea kwenye ulingo wa siasa, huku ikisubiri uchaguzi mkuu 2025.Ndio uaminifu na heshima ya wananchi kwa CCM vimeshashuka sana, lakini angalau wananchi wataona kwamba CCM imetambua makosa yake na iko tayari kujirekebisha.
Ni nini kimeibua yote haya. Hakuna shaka yeyote kwamba mkataba mbovu wa DP World ambao kwa kipimo chochote ni mkataba mbovu,ndio uliofukua makaburi. Legal Human Rights Centre(LHRC) wamesema bila kumung'unya maneno, kwamba mkataba huu una matatizo mengi.
Katibu Mkuu wa CCM Comrade Chongolo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Comrade Kinana nao wameonyesha wasi wasi wa wazi katika mkataba huu.
Sababu zinazotolewa na mamlaka za kutafuta muwekezaji kwenye bandari zetu wanasema ni kama ifuatavyo:
1.Watanzania ni wezi.
Sababu hii si ya msingi sana,kwa kuwa kama walioajiriwa Bandarini ni wezii,wangefukuzwa na kuajiriwa wengine waadilifu.Isitoshe Watanzania tupo million sitini(60) na zaidi,naamini kusinge-kosekana Watanzania waaminifu.Naomba niseme hivi, sababu hii ambayo si ya kweli, imetudhalilisha sana Watanzania kwenye jamii ya kimataifa.Katika jamii yeyote wezi wapo,si ajabu.Sasa kusema kwamba Watanzania ni wezi,ni kutufhalilisha,kwa hiyo katika hili, tunaomba tuombwe radhi.
2.Watanzania hawana weledi wa kuendesha bandari.
Inawezekana hii ni kweli,lakini kama ni kweli,CCM na serikali zake mbali mbali tangu Uhuru wanahusika moja kwa moja katika tatizo hili,kwa kuwa imehusika moja kwa moja katika kuharibu Elimu.Kulikuwa na sababu gani za msingi kwa mfano za kutumia waalimu wa Darasa la Saba.Kulikuwa na sababu gani za kuwa na Elimu ya UPE(Universal Primary Education).Kwa nini mitaala mibovu.Kuna haja gani ya kubadilisha mitaala kila wakati na hivyo kukosa consistency.Kuna sababu gani ya msingi ya kuajiri waalimu wa Division IV tena,wa course ya ualimu ya mwaka mmoja tu(Voda Fasta).Kulikuwa na ulazima gani na haraka gani ya kuanzisha Shule za Kata,huku tukijua kwamba hazina vifaa,waalimu wanaofaana na mazingira mazuri ya kufundishia namengine mengi?Jibu ni moja tu,nia Ni kuharibu elimu,ili kusiwe na watu wenye weledi wa kusimamia rasilimali zao na maendeleo ya nchi yao.
Kumekuwa na harakati nyingi kutoka CCM na serikali yake kuutetea mkataba huu kati ya Serikali na DP World. Hata hivyo kama nilivyokwisha sema mkataba huu kwa kipimo chochote haufai,kwa hiyo kimsingi hakuna sababu yeyote ya kuendelea kuutetea na kulazimisha kuutekeleza, kwa kuwa wananchi hawautaki,na sababu kwa nini hawautaki iko wazi,hauna maslahi kwa Taifa lao.Kuendelea kufanya hivyo ni kuendelea kuwatia wananchi hasira na ningeishauri CCM iache.
Hapa naomba niwe muwazi,Watanzania hawakatai uwekezaji katika bandari zao,au hata bandari ya Dar es Salaam, wanachokataa ni uwekezaji usio na maslahi kwao na taifa lao.
Ni andiko refu lenye mambo mengi ya kipuuuzi.CCM kwa sasa ina chaguzi mbili tu, kumtosa Rais Samia na wenzie waliotufikisha hapa ianze upya au kuikosa Ikulu 2025
Nchi imechafuka, wananchi wamekasirika kwa kuwa wameujua ukweli kwamba CCM na Serikali yake si rafiki, ni adui yao,na haiwezi kabisa kuwafikisha Kanani, nchi ya maziwa na asali. CCM kwa sasa ina options mbili tu,au imtose Samia na wenzake waliotufikisha hapa ianze upya, au iikose Ikulu 2025.
Ni ukweli usiopingika, kwamba nchi yetu haijawahi kuwepo katika sintofahamu ya namna hii tangu tupate Uhuru wetu mwaka 1961. Ndio CCM na serikali zake mbali mbali zimetufanyia mambo mengi mabaya:Vijiji vya Ujamaa,sera ambayo iliingiza Watanzania kwenye umaskini uliotopea;kutaifisha mali za walioitwa wanyonyaji na hatimaye kuharibu uchumi wa nchi kabisa; mikataba mingi mibovu: MEREMETA, KAGODA, SYMBION, IPTL, ATCL, TRC nk., lakini nchi haijawahi kukosa amani na Wananchi wakalalamika na kuichukia serikali yao kiasi hiki.
Hii ni kwa nini? Ni kwa sababu wananchi wamekosa imani kabisa na mfumo mzima wa utawala. Hawana imani tena na utawala wowote wa CCM na Serikali zake,wanataka mabadiliko chanya. Unaweza ukauvuta mpira kwa kiasi fulani, lakini hatimaye unafikia ukomo wa kuvutika na kukatika.Ndio, Watanzania wamefikia ukomo wa uvumilivu.CCM sasa ina chaguzi mbili tu ili angalau kujisafisha:au iachane na Samia na kufanya kama kile kilichofanyika Uingereza kwa kuachana na Waziri Mkuu Boris Johnson na kumuweka Waziri Mkuu wa sasa Rishi Sunak madarakani,au iparaganyike kabisa na kupotea kwenye ulingo wa siasa, huku ikisubiri uchaguzi mkuu 2025.Ndio uaminifu na heshima ya wananchi kwa CCM vimeshashuka sana, lakini angalau wananchi wataona kwamba CCM imetambua makosa yake na iko tayari kujirekebisha.
Ni nini kimeibua yote haya. Hakuna shaka yeyote kwamba mkataba mbovu wa DP World ambao kwa kipimo chochote ni mkataba mbovu,ndio uliofukua makaburi. Legal Human Rights Centre(LHRC) wamesema bila kumung'unya maneno, kwamba mkataba huu una matatizo mengi.
Katibu Mkuu wa CCM Comrade Chongolo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Comrade Kinana nao wameonyesha wasi wasi wa wazi katika mkataba huu.
Sababu zinazotolewa na mamlaka za kutafuta muwekezaji kwenye bandari zetu wanasema ni kama ifuatavyo:
1.Watanzania ni wezi.
Sababu hii si ya msingi sana,kwa kuwa kama walioajiriwa Bandarini ni wezii,wangefukuzwa na kuajiriwa wengine waadilifu.Isitoshe Watanzania tupo million sitini(60) na zaidi,naamini kusinge-kosekana Watanzania waaminifu.Naomba niseme hivi, sababu hii ambayo si ya kweli, imetudhalilisha sana Watanzania kwenye jamii ya kimataifa.Katika jamii yeyote wezi wapo,si ajabu.Sasa kusema kwamba Watanzania ni wezi,ni kutufhalilisha,kwa hiyo katika hili, tunaomba tuombwe radhi.
2.Watanzania hawana weledi wa kuendesha bandari.
Inawezekana hii ni kweli,lakini kama ni kweli,CCM na serikali zake mbali mbali tangu Uhuru wanahusika moja kwa moja katika tatizo hili,kwa kuwa imehusika moja kwa moja katika kuharibu Elimu.Kulikuwa na sababu gani za msingi kwa mfano za kutumia waalimu wa Darasa la Saba.Kulikuwa na sababu gani za kuwa na Elimu ya UPE(Universal Primary Education).Kwa nini mitaala mibovu.Kuna haja gani ya kubadilisha mitaala kila wakati na hivyo kukosa consistency.Kuna sababu gani ya msingi ya kuajiri waalimu wa Division IV tena,wa course ya ualimu ya mwaka mmoja tu(Voda Fasta).Kulikuwa na ulazima gani na haraka gani ya kuanzisha Shule za Kata,huku tukijua kwamba hazina vifaa,waalimu wanaofaana na mazingira mazuri ya kufundishia namengine mengi?Jibu ni moja tu,nia Ni kuharibu elimu,ili kusiwe na watu wenye weledi wa kusimamia rasilimali zao na maendeleo ya nchi yao.
Kumekuwa na harakati nyingi kutoka CCM na serikali yake kuutetea mkataba huu kati ya Serikali na DP World. Hata hivyo kama nilivyokwisha sema mkataba huu kwa kipimo chochote haufai,kwa hiyo kimsingi hakuna sababu yeyote ya kuendelea kuutetea na kulazimisha kuutekeleza, kwa kuwa wananchi hawautaki,na sababu kwa nini hawautaki iko wazi,hauna maslahi kwa Taifa lao.Kuendelea kufanya hivyo ni kuendelea kuwatia wananchi hasira na ningeishauri CCM iache.
Hapa naomba niwe muwazi,Watanzania hawakatai uwekezaji katika bandari zao,au hata bandari ya Dar es Salaam, wanachokataa ni uwekezaji usio na maslahi kwao na taifa lao.
Bado wapo mkuu,elimu inahitaji sana ili wananchi wajue fika ubaya wa serikali ya CCM,ili come 2025 waweze kusimamia kura zao zisiibiwe.Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayetoa kura yake kwa Chama kilichotufikisha hapa tulipo yaani ni wizi kila mahali.
Naona mkuki umeingia sehemu yake,👍.Ni andiko refu lenye mambo mengi ya kipuuuzi.
Usinichokoze nikaja hapa kupoteza muda mwingi kukunyoosha akili ilipopindika.
Ninachokubaliana na wewe ni hilo moja tu la CCM kuwa mbovu; lakini hata huna uwezo wa kujua ubovu ulianzia wapi. Unazungukazunguka tu kijumlajumla kwa maelezo mepesi na potofu kabisa kila mahala.
Nadhani unatafuta nikutafutie muda mzuri nikuchambue na hilo andiko lako hafifu vizuri.Naona mkuki umeingia sehemu yake,👍.
I agree. Mengine yote ni nyongo tu na hapakuwa na sababu za msingi kugusia maeneo mengine kufikisha ujumbe wake.Ni andiko refu lenye mambo mengi ya kipuuuzi.