CCM kwa sasa ina machaguo mawili tu. Kumtosa Rais Samia na wenzie waliotufikisha hapa ianze upya au kuikosa Ikulu 2025

Kwa hiyo unahalalisha tyranny mkuu.Swala sio "kutawala" at any cost,swala ni "kuongoza" nchi vizuri.
Sihalalishi boss, ila Huwezi kuongoza nchi bila watu fulani fulani wasilalamike.

Kuna makosa ya wazi mfano hili la bandari ni la wazi na raia tunalikemea, ila miaka yote walalamikaji wapo hata apewe nani nchi.

Mbinguni kwa BABA aliibuka mlalamishi shetani na akaasi, sembuse kwenye utawala wa binadamu dhaifu.
 
Your browser is not able to display this video.
 
ccm ikimsimamisha mwijaku agombee urais ashindane na mbowe au lissu na wasimamizi wa kura waje kutoka UN bado mwijaku atashinda kwa kishindo
 
Hapana,i).Vijiji vya Ujamaa
ii).Kutaifisha mali za walioitwa makabaila
iii).Kuharibu elimu
iv.Kuharibu Kilimo
v).Kuharibu mfumo mzima wa Afya
vi).Ufisadi uliokithiri
vii).Mikataba mibovu:MEREMETA,KAGODA,SYMBION,IPTL,ATCL,TRL,DP World nk.nk.
So you want me to believe haya yote ni udhaifu wa binadamu?
No, binadamu kweli ni dhaifu,lakini kwa haya ya CCM na serikali zake,this is a planned,systematic destruction of our social,physical,cultural and spiritual well being in collaboration with the forces of darkness.Hii haivumiliki,we as Tanzanians must fight back,vinginevyo we will face annihilation.
 
Don't be naive. Vyombo vya CCM vinakusanya kura na kumtangaza mshindi. Tume ni ya CCM.

Hata ukimuweka Mwijaku kugombea Urais. Atashinda. atatangazwa kuwa mshindi hata kama alipata kura kumi.
 
Kuna Mzee mmoja aliwahi kuniambia: mwanangu jiepushe sana na moto wa Jehenam na namna bora ya kuepukana nao ni kuwa mbali na 'chama fulani 'kwani matendo yao ni kwenda jehenam!
 
Don't be naive. Vyombo vya CCM vinakusanya kura na kumtangaza mshindi. Tume ni ya CCM.

Hata ukimuweka Mwijaku kugombea Urais. Atashinda. atatangazwa kuwa mshindi hata kama alipata kura kumi.
Hujaelewa mada yangu soma tena.Sijasema mahali popote kwamba CCM hawatashinda uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…