Tetesi: CCM kwachafuka, sasa wachunguzana, hakuna kuaminiana

Sasa unashangaa watu kuchunguzana? Mbona hukushangaa chadema kutuhumiana kupeana sumu na kutoleana nut za matairi?

Cc Ben na Zitto
 
Uko koote nakupa tano ila ilo la Bavicha nis umu maana nimeingia Dodoma leo ASBI sijaona izo harakati za BAVICHA zaidi ya kupishana na gari zao wakizunguka mitaani.
Mkumbuke DODOMA sio Kilimanjaro au Arusha unless ulete vijana toka nje ya huu mkoa
Kumbuka ndo mkoa pekee majimbo yote CCM.
Na ukiimport watu utadakwa tuu na inteliigensia ambayo iko arround as am speaking.
 
Mtoa mada wewe huchoki kuzuwa, unalipwa kiasi gani aisee duh ! kama hiyari yashinda utumwa wewe utakuwa kunta kinte wa hiyari.
 
Sasa unashangaa watu kuchunguzana? Mbona hukushangaa chadema kutuhumiana kupeana sumu na kutoleana nut za matairi?

Cc Ben na Zitto
usiangalie kilichopelekea....angalia matokeo yake. ikazaliwa ACT.

nanyi genge lenu likimeguka sijui kitazaliwa nini!!
 
...kama ni taarifa ya Siri mbona unaileta huku?
 
Hizi sarakasi zote zisingekuwepo kama katiba ya nchi ( au ya chama) ingekuwa wazi na kukataza Rais wa nchi ( Rais wa watu wote) kutokuwa na nafasi yoyote ya kiuongozi ndani ya chama cha siasa.

Sasa kama wasiomtaka JPM ni wengi, si waruhusu wanachama wajitokeze kugombea huo uenyekiti na kura zipigwe kwa siri?
 
Kama CCM walivuka July2015! Sioni dalili ya mpasuko kwa siku za karibuni...
 
Kama kupasuka CCM ingepasuka July 12 2015. Jengeni Vyama vyenu mkisubiri CCM ipasuke ndio mkamate Dola ni sawa na kusubiri Boti ya Znz Ubungo bus terminal
Waache waendelee kusubiri tu maana bado wamelala hawatambui kwamba ccm ndio Kwanzaa jua linachomoka watasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…