Tetesi: CCM kwachafuka, sasa wachunguzana, hakuna kuaminiana

Tetesi: CCM kwachafuka, sasa wachunguzana, hakuna kuaminiana

Maskini wazungusha mikono, povu haliwaishagi sijui ni sabuni gani mlinyweshwa
 
Hii habari ina degree nyingi sana za Ukweli

Habari kutoka ndani kabisa ni kuwa ccm wanahaha kutafuta zile kalamu zilizotumika na Ukawa kwenye uchaguzi wa Meya Dar ili kuweza kuwabaini watakao piga kura za hapana. Sijui lengo ni nini, labda baada ya mkutano "watawalaza chini"
 
Chama cha majipu
Chama cha mafisadi
Chama cha maji...z
Chama cha mashet
Chama cha ma....

Hii imemifurahisha ... Inakielezea vizuri Chama ambacho sasa Kinamilikiwa rasmi NA Mtuhumiwa Kiongozi wa Ufisadi nchini. Ambaye pia Ni Mjumbe wa kujiteua wa Halmashuri na Kamati kuu ya Hicho chama ambacho kwa kutofuata katiba yake kinamwita sasa Kiongozi mkuu wa Chama.
 
kwa sasa wanaccm imani wameufyata. chama kinakabidhiwa kwa asiyekijua chama. wakipinga hawana chao...
 
Magufuli pressure inapanda na pressure inashuka
 
Kwa system ya hiki chama ninagakika wahalifu wote na wasaliti wanajulikana live bila chenga
 
kwa sasa wanaccm imani wameufyata. chama kinakabidhiwa kwa asiyekijua chama. wakipinga hawana chao...

Wewe ndiye unayejua zaidi ya hao watakaomkabidhi? Hivi EL alipoteuliwa alikuwa anakifahamu Chama alichosimamia ugombea? Kuna kada mwingine wa CCM anagombea uenyekiti wa kanda wa CDM naye kakifahamu Chama lini? Katibu Mkuu wa Chadema alikifahamu Chama lini hata kushika nafasi ya Mtendaji mkuu wa Chama? Ukijibu haya Kwa ufasaha tunaweza kukusikiliza kwenye hoja yako vinginevyo just shut up because you will have no moral authority to speak .
 
Back
Top Bottom