Tetesi: CCM kwachafuka, sasa wachunguzana, hakuna kuaminiana

Naona ....machangudoa washa jaa...dodoma tayari kwajili ya kutoa huduma ya virusi kwa wajumbe wa ccm ......ushauri wajumbe kuweni makini......hilo tu
 

Yatasikika mengi tuyaona mengi ila hakuna dhambi mbaya kama unafiki, Mungu awavushe salama msije mkashikana mashati tu.
 

CCm ilishajifia zamani sana. Sasa hivi kinachoonekana ni vazi la marehemu na sauti za polisi!
 
timu lowasa mmeamua kwenda chedema lakini mioyo yenu bado iko ccm mko njia panda ni heri mkatafuta shuguri za kufanya
 
Chama cha majipu
Chama cha mafisadi
Chama cha maji...z
Chama cha mashet
Chama cha ma....
 
Naona mapezi na CCM yamekuingia kweli,amua moja wewe kila kukicha CCM jenga yako,na jengeni na ya kwenu,mnajiita chama cha ukombozi,,hata office hamna ,vikao mnakodisha hoteli,Ki taswira ni kama watu wanao fanyiwa send off au kitchen part kila siku,
 
Kama kupasuka CCM ingepasuka July 12 2015. Jengeni Vyama vyenu mkisubiri CCM ipasuke ndio mkamate Dola ni sawa na kusubiri Boti ya Znz Ubungo bus terminal
Kilikwishapasuka kitambo yote ni maneno ili kutetea yasiyoteteka,Kama ni muheshimiwa usije fikiri atarudisha chama kwenye umakini na siasa safi zaidi mara tuu apatapo uenyekiti chama kwaheri,Tutarudi HAPA kuarifiana
 
Hii habari haina ncha ya udanganyifu ,ukiunganisha dots na za yule IGP kuhusu kukamatwa kwa Maalim Seif utaona ni kweli,mkuu IGP amepokea maelekezo na amefuata na tumesikia alichokisema.
 
Mwaka huuu sisi yetu macho. Mlivuka kwenye mgombea. Ila kumkabidhi uwenyekiti kazi ipo. Maana mlidhani atawabeba ameamua kuwachinjia baharini.
 
Nimepapenda hapo ....UVCCM ni mizigo inayosubiri kupewa vyeo...
 
Mwaka huuu sisi yetu macho. Mlivuka kwenye mgombea. Ila kumkabidhi uwenyekiti kazi ipo. Maana mlidhani atawabeba ameamua kuwachinjia baharini.
Magufuli tayari ni mwenyekiti. Huko Ufipa endeleeni kuchochea moto ambao umewashwa ndani ya dimbwi la maji
 
Anaesema Magufuli hawi mwenyekiti atakuwa ni usalama wa taifa na kama sie basi anaendeleza habari isiyona ukweli ili kuwababaisha waTz na kutaka kuwapindisha katika hoja muhimu,yahusuyo majipu uchungu au yale yaliokomaa matezi dume ambayo yameiganda ccm kama luba ,hayaondoki ikulu japo yameahidiwa kulindwa wanachunguza jamaa anatumia nondo gani kutumbua na kupasua.

Mheshimiwa Magufuli alishawapiga chenga ya mwili alipowambia atawalinda hivi Raisi atayalinda majipu yaliyochomoza nundu ?
 
Hahahahahaaaaa! UVCCM ilishamaliza kazi. Imebaki BAVICHA ya matamko
Hahaha hivi UVCCM ipo kweli? Mi naona kama ilianza kuondoka na akina Nchimbi imemalizikia kwa akina Shigela sasa umebaki mkuu Lizaboni kutoa matamko ya kufichua waovu wenu
 
Mpaka muda huu wabishi na waliokuwa wanapanga kuleta songombingo huko Dodoma wamejisalimisha baada ya kupewa kibano kichama.
 
Hii unahitaji kuwepo duniani tu, huna hata haja ya kupata elimu kubaini kuwa ni uzushi. Jamaa kaungaunga habari za humu jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…