Habari kutoka ndani kabisa ni kuwa ccm wanahaha kutafuta zile kalamu zilizotumika na Ukawa kwenye uchaguzi wa Meya Dar ili kuweza kuwabaini watakao piga kura za hapana. Sijui lengo ni nini, labda baada ya mkutano "watawalaza chini"
Hii imemifurahisha ... Inakielezea vizuri Chama ambacho sasa Kinamilikiwa rasmi NA Mtuhumiwa Kiongozi wa Ufisadi nchini. Ambaye pia Ni Mjumbe wa kujiteua wa Halmashuri na Kamati kuu ya Hicho chama ambacho kwa kutofuata katiba yake kinamwita sasa Kiongozi mkuu wa Chama.
Wewe ndiye unayejua zaidi ya hao watakaomkabidhi? Hivi EL alipoteuliwa alikuwa anakifahamu Chama alichosimamia ugombea? Kuna kada mwingine wa CCM anagombea uenyekiti wa kanda wa CDM naye kakifahamu Chama lini? Katibu Mkuu wa Chadema alikifahamu Chama lini hata kushika nafasi ya Mtendaji mkuu wa Chama? Ukijibu haya Kwa ufasaha tunaweza kukusikiliza kwenye hoja yako vinginevyo just shut up because you will have no moral authority to speak .