Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mpaka Sasa sielewi ni kwanini CCM mpaka Sasa inaendelea kuiharamisha pombe aina ya gongo!!
Hivi CCM haiwezi kuifuta hii sheria kandamizi Ili watanzania maskini wapika pombe aina ya gongo waweze kujikwamua kiuchumi?
Hivi CCM wanaweza kutuambia uharamu wa pombe ya gongo unatokana na kitu gani hasa?
Je, uharamu wa gongo unatokana na vinavyotumika kuitengeneza hiyo pombe?
Au uharamu wa pombe upo kwenye jinsi inavyofungashwa na kuhifadhiwa?
Labda CCM mtuambie ni kwa nini mnasema gongo ni pombe haramu?