Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Watu makini hujadili hoja badala ya kujadili mtu. You are not among themVipi wewe unaitumia hiyo mzee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu makini hujadili hoja badala ya kujadili mtu. You are not among themVipi wewe unaitumia hiyo mzee?
Komoni imepimwa?Mkuu gongo haijapimwa alcohol kitaalamu, pitia pitia hiki kitabu.
Sawa 👍🏾Watu makini hujadili hoja badala ya kujadili mtu. You are not among them
Haujajadili hoja. Bila kumuangalia mtoa hoja, what's your input?Subirini CHADEMA mkiingia madarakani mtafanya huu upumbavu unaouwaza.
Nayo haijapimwa lakini athari zake si kubwa kufananisha na gongo.Komoni imepimwa?
Kwa hiyo madhara yanapimwa kwa ujazo unaolewesha?Nayo haijapimwa lakini athari zake si kubwa kufananisha na gongo.
Mtu wa kawaida anaweza kunywa komoni lita1 na asilewe - Less alcohol.
Mtu wa kawaida akinywa gongo kikombe ki1 analewa chakari vibaya mno - High alcohol.
Infact, Spirit yeyote ndiyo pombe kali zaidi duniani ukirelate na Wine and Beer.
Acha kusapoti upumbavuHaujajadili hoja. Bila kumuangalia mtoa hoja, what's your input?
Hapana hatudharau, Njia za kuibalance pombe ili iwe katika viwango sahihi na vifaa vya kuipima kama inafaa au haifai ni gharama mno, wauza gongo hawawezi kumudu.Inachukua miaka mingapi kupima kiwango cha alcohol? Maana gongo ni kongwe kuliko K-Vant, Konyagi, Smart Gin n.k,?
Au tunadharau vya kwetu ??
Soma kitabu hicho.Kwa hiyo madhara yanapimwa kwa ujazo unaolewesha?
Basi hata nyanya, Vitunguu, n.k (vyote ambavyo Serikali haipati Kodi) vipewe jina HARAMU ili vipigwe marufuku kwa havina maslahi kwa upande WA Serikali.Kama serikali haipati kodi kutokana na biashara fulani ni lazima wataipa jina HARAMU kwani hiyo biashara inakuwa haina maslahi upande wa serikali.
Konyagi au K Vant ni gongo zilizohalalishwa.
Wanadai mbege inaleta minyoo sugu.Gongo kule Bukoba huwa inaitwa KONYAGI na ile kali huitwa SUPER.
Hii inaua hasa ukiwa unatumia kila siku.
Zipo pombe za kienyeji ambazo hazina madhara ya kiafya makubwa Kama Mbege -Rubisi -kimpumu. n.k.
Kama pombe za kienyeji ulizozitaja hazina madhara, je hao wanywaji, sijui walevi wa hizo pombe, hayo mashavu na vitumbo vyao kujaa kama vitambi hiyo ni afya?Gongo kule Bukoba huwa inaitwa KONYAGI na ile kali huitwa SUPER.
Hii inaua hasa ukiwa unatumia kila siku.
Zipo pombe za kienyeji ambazo hazina madhara ya kiafya makubwa Kama Mbege -Rubisi -kimpumu. n.k.
Good✊🏿 but always too much of anything is harmful.Kama pombe za kienyeji ulizozitaja hazina madhara, je hao wanywaji, sijui walevi wa hizo pombe, hayo mashavu na vitumbo vyao kujaa kama vitambi hiyo ni afya?
Ukisikia: 'pombe ya kienyeji' maana yake pombe isiyo na vipimo vya ubora pamoja na utambuzi wa percentage yake ya alcohol, bila kujali ni gongo, kimpumu, kangara ama rubisi.
Mantiki ya mtoa mada ni kuitaka Serikali 'ihalalishe' pombe za kienyeji.
Kuhalalisha ni Serikali kuweka mkono wake wa kitaalamu ili pombe zote za kienyeji ziwekewe utaratibu mzuri wa kufuata kisheria za ubora wa viwango, ili zitumiwapo na wananchi zisiwaletee madhara.
Gongo la mboto?pombe ya gongo
Kama kanisa katoliki wamehararisha gongo kunywewa na waumini wake hata katika viunga vya mazingira ya kanisa na inaombewa, CCM ni nani azuie?Mpaka Sasa sielewi ni kwanini CCM mpaka Sasa inaendelea kuiharamisha pombe aina ya gongo!!
Hivi CCM haiwezi kuifuta hii sheria kandamizi Ili watanzania maskini wapika pombe aina ya gongo waweze kujikwamua kiuchumi?
Hivi CCM wanaweza kutuambia uharamu wa pombe ya gongo unatokana na kitu gani hasa?
Je, uharamu wa gongo unatokana na vinavyotumika kuitengeneza hiyo pombe?
Au uharamu wa pombe upo kwenye jinsi inavyofungashwa na kuhifadhiwa?
Labda CCM mtuambie ni kwa nini mnasema gongo ni pombe haramu?
Wataalamu wanapaswa kuifanyia tathimini ili wajue nini kimezidi na nn kimepungua kwenye gongo, halafu wawashauri watengenezaji jinsi ya kuviongeza ama kupunguza.Hapana hatudharau, Njia za kuibalance pombe ili iwe katika viwango sahihi na vifaa vya kuipima kama inafaa au haifai ni gharama mno, wauza gongo hawawezi kumudu.
Hii ndiyo hoja yangu. Serikali iache kusimamia sheria zilizotungwa enzi ya mkoloni kugandamiza waafrika Ili pombe zao zisishindane na za kwao.Wataalamu wanapaswa kuifanyia tathimini ili wajue nini kimezidi na nn kimepungua kwenye gongo, halafu wawashauri watengenezaji jinsi ya kuviongeza ama kupunguza.
Gongo ikiboreshwa itaongeza psto la taifa. Tafadhali sana wataalamu wetu fanyieni kazi suala hili.