Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nini kinazuia kuweka sheria ya kuipima kabla ya kutumiwa na watu?Mkuu gongo haijapimwa alcohol kitaalamu, pitia pitia hiki kitabu.
Hizo ni hisia tu,fanya uchunguzi zaidi Ili kujua chanzo cha hao ndugu zako kupata hizo shida.Hizo pombe hazifai
Nimezika Ndugu zangu wengi Sana Kwa kuugua maini na moyo na figo kisa Gongo.
Hapo sasa sijatambua mkuu.Nini kinazuia kuweka sheria ya kuipima kabla ya kutumiwa na watu?
Inachukua miaka mingapi kupima kiwango cha alcohol? Maana gongo ni kongwe kuliko K-Vant, Konyagi, Smart Gin n.k,?Mkuu gongo haijapimwa alcohol
ILa Smart Gin aaaah haiuiHizo pombe hazifai
Nimezika Ndugu zangu wengi Sana Kwa kuugua maini na moyo na figo kisa Gongo.
SawaKama serikali haipati kodi kutokana na biashara fulani ni lazima wataipa jina HARAMU kwani hiyo biashara inakuwa haina maslahi upande wa serikali.
Konyagi au K Vant ni gongo zilizohalalishwa.
Acha ubishi, umetumwa na shetani?Hizo ni hisia tu,fanya uchunguzi zaidi Ili kujua chanzo cha hao ndugu zako kupata hizo shida.
Hata hivyo uharamu wa gongo unatokana na kitu gani?
Subirini CHADEMA mkiingia madarakani mtafanya huu upumbavu unaouwaza.Mpaka Sasa sielewi ni kwanini CCM mpaka Sasa inaendelea kuiharamisha pombe aina ya gongo!!
Hivi CCM haiwezi kuifuta hii sheria kandamizi Ili watanzania maskini wapika pombe aina ya gongo waweze kujikwamua kiuchumi?
Hivi CCM wanaweza kutuambia uharamu wa pombe ya gongo unatokana na kitu gani hasa?
Je, uharamu wa gongo unatokana na vinavyotumika kuitengeneza hiyo pombe?
Au uharamu wa pombe upo kwenye jinsi inavyofungashwa na kuhifadhiwa?
Labda CCM mtuambie ni kwa nini mnasema gongo ni pombe haramu?