CCM kwanini mmeiharamisha pombe aina ya Gongo?

Hennesy grants, captain,vodka zote ni gongo za wazungu wacha tu na sisi tukuze gongo yetu
Mapato ya gongo za tz yanaingia moja kwa moja ktk uchumi wa tz
Wauzaji wa gongo wanasomesha, wananunua matilio ya kutengenezea gongo hapa hapa tz
 
Hakika mkuu!!
 
Hennesy grants, captain,vodka zote ni gongo za wazungu wacha tu na sisi tukuze gongo yetu
Tujivunie vya kwetu.
Mapato ya gongo za tz yanaingia moja kwa moja ktk uchumi wa tz
Wauzaji wa gongo wanasomesha,
Kabisa. Kuna wasomi nguli Wa kutosha Tanzania ambao mallpo ya ada zao yalitokana na mama zao kuuza gongo.
wananunua matilio ya kutengenezea gongo hapa hapa tz
Kabisa. Na itakuza sana kilimo chetu.

Tunawauzia gongo Kenya na Uganda wanakwenda kuisindika kwenye chupa na kuwauzia watu wao sisi huku tunasema ni haramu!!
 
Hakuna haja yà kutaka CCM wahalalishe, Chadema mlishahalisha inatosha.
Ni kama kitimoto tuu, msabato ni haramu kwa mkatoliki ruksa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…