BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Waache watutangazie wao wanaamini tulikuwa tumelala hivyo hatukuona hizo SGR na flyover, zaidi ya hapo wewe hawajakubadilishia maisha, mlo mmoja siku ukiamka vizuri.Nakumbuka wakati nafanya kwenye NGO moja ni International ilikuwa akija Mgeni yaani wafadhiri wa mradi tulikuwa haturuhusiwi sisi staff kuongelea tulicho kifanya bali wale wanufaika ndo pekee waliruhusiwa kueleza kama wananufaika kweli au la na some time walikuwa wanatuumbua vibaya mno.
Sasa CCM hayo maendeleo kama watu wamenufaika watayatangaza, sasa hizi nguvu zote za kuyatangaza ni ili iweje? Beneficiary wako wapi? Mbona hawatangazi?
Ngugu zinazo tumika kutangaza mafanikio zina walakini kwa sababu kama mafanikio watu wamefanikiwa automatic watatangaza.
Mwanaccm anapoelezea mazuri! Kwa nani? Aende nje ya nchi akawaeleze mimi nipo hapa huku Makete hiyo SGR na flyover hainisaiidii kwenye maisha yangu ya kila siku, labda wewe unakwenda kupanda flyover ili ujiselfie na kupunga upepo.Mleta mada; muhimu kujua kuwa sisi ni watanzania kwanza kabla ya kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa. Hivyo mwanaCCM anapoelezea mazuri yaliyofanyika, asibaguliwa, yeye naye ni mnufaika Kama mtanzania mwingine yeyote yule.
Tunalazimika pia kujitangaza kwani sisi Ni chama cha siasa na tuliahidi kutekeleza. Kama hiyo haitoshi, tunatangaza kwasababu kuna watu wanapotosha ukweli
Inaelekea hujui nini maana ya neno SIASA🙂Nakumbuka wakati nafanya kwenye NGO moja ni International ilikuwa akija Mgeni yaani wafadhiri wa mradi tulikuwa haturuhusiwi sisi staff kuongelea tulicho kifanya bali wale wanufaika ndo pekee waliruhusiwa kueleza kama wananufaika kweli au la na some time walikuwa wanatuumbua vibaya mno.
Sasa CCM hayo maendeleo kama watu wamenufaika watayatangaza, sasa hizi nguvu zote za kuyatangaza ni ili iweje? Beneficiary wako wapi? Mbona hawatangazi?
Ngugu zinazo tumika kutangaza mafanikio zina walakini kwa sababu kama mafanikio watu wamefanikiwa automatic watatangaza.
Kama kweli umetekeleza na yanaonekana kwa macho ya kawaida kwnn utumie nguvu kuyaelezea?? Acha watu baki ndo wayaelezee ww tuliaMleta mada; muhimu kujua kuwa sisi ni watanzania kwanza kabla ya kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa. Hivyo mwanaCCM anapoelezea mazuri yaliyofanyika, asibaguliwa, yeye naye ni mnufaika Kama mtanzania mwingine yeyote yule.
Tunalazimika pia kujitangaza kwani sisi Ni chama cha siasa na tuliahidi kutekeleza. Kama hiyo haitoshi, tunatangaza kwasababu kuna watu wanapotosha ukweli
PoliticsNakumbuka wakati nafanya kwenye NGO moja ni International ilikuwa akija Mgeni yaani wafadhiri wa mradi tulikuwa haturuhusiwi sisi staff kuongelea tulicho kifanya bali wale wanufaika ndo pekee waliruhusiwa kueleza kama wananufaika kweli au la na some time walikuwa wanatuumbua vibaya mno.
Sasa CCM hayo maendeleo kama watu wamenufaika watayatangaza, sasa hizi nguvu zote za kuyatangaza ni ili iweje? Beneficiary wako wapi? Mbona hawatangazi?
Ngugu zinazo tumika kutangaza mafanikio zina walakini kwa sababu kama mafanikio watu wamefanikiwa automatic watatangaza.
Beneficiaries ni Mimi na wewe , na Mimi nimeridhika na walichokifanya kwenye infrastructure, ingawa kuna areas ambazo zinahitaji wahusika kuelemishwa kwani kuna mapungufu au approach yao sio sahihiNakumbuka wakati nafanya kwenye NGO moja ni International ilikuwa akija Mgeni yaani wafadhiri wa mradi tulikuwa haturuhusiwi sisi staff kuongelea tulicho kifanya bali wale wanufaika ndo pekee waliruhusiwa kueleza kama wananufaika kweli au la na some time walikuwa wanatuumbua vibaya mno.
Sasa CCM hayo maendeleo kama watu wamenufaika watayatangaza, sasa hizi nguvu zote za kuyatangaza ni ili iweje? Beneficiary wako wapi? Mbona hawatangazi?
Ngugu zinazo tumika kutangaza mafanikio zina walakini kwa sababu kama mafanikio watu wamefanikiwa automatic watatangaza.
Siwezi kutulia watu wakipotosha. Hakuna mtu baki, yote yanatuhusu sisi kama watanzaniaKama kweli umetekeleza na yanaonekana kwa macho ya kawaida kwnn utumie nguvu kuyaelezea?? Acha watu baki ndo wayaelezee ww tulia
Ndo maana mnatumia nguvu maana hata ninyi hamkiamini mlichokitenda ..mna amini katka matangazoSiwezi kutulia watu wakipotosha. Hakuna mtu baki, yote yanatuhusu sisi kama watanzania
Soma "je ni kweli flyovers na ndege hazina msaada wowote kwa watanzania waishio Nanyamba au kiabakari"to?Mwanaccm anapoelezea mazuri! Kwa nani? Aende nje ya nchi akawaeleze mimi nipo hapa huku Makete hiyo SGR na flyover hainisaiidii kwenye maisha yangu ya kila siku, labda wewe unakwenda kupanda flyover ili ujiselfie na kupunga upepo.
Elewa basi, nimekuambia kama hutaki niongee na wewe acha kupotosha kuwa hakuna kilichofanyika au kukebehi. Yaani nyie muwaambie watanzania habari za uongo halafu utake tunyamaze, hiyo tumekataa mchana kweupeeeNdo maana mnatumia nguvu maana hata ninyi hamkiamini mlichokitenda ..mna amini katka matangazo
Mleta mada; muhimu kujua kuwa sisi ni watanzania kwanza kabla ya kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa. Hivyo mwanaCCM anapoelezea mazuri yaliyofanyika, asibaguliwa, yeye naye ni mnufaika Kama mtanzania mwingine yeyote yule.
Tunalazimika pia kujitangaza kwani sisi Ni chama cha siasa na tuliahidi kutekeleza. Kama hiyo haitoshi, tunatangaza kwasababu kuna watu wanapotosha ukweli