BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
-
- #21
Soma "je ni kweli flyovers na ndege hazina msaada wowote kwa watanzania waishio Nanyamba au kiabakari"to?
Ndo maana mnatumia nguvu maana hata ninyi hamkiamini mlichokitenda ..mna amini katka matangazo
Ha ha ha wanatumia nguvu kubwa kutangaza ujenzi wa madaraja huku wanaowatangazia wakishindia mlo mmoja kwa siku.
CCM ni wachawi.
Mleta mada; muhimu kujua kuwa sisi ni watanzania kwanza kabla ya kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa. Hivyo mwanaCCM anapoelezea mazuri yaliyofanyika, asibaguliwa, yeye naye ni mnufaika Kama mtanzania mwingine yeyote yule.
Tunalazimika pia kujitangaza kwani sisi Ni chama cha siasa na tuliahidi kutekeleza. Kama hiyo haitoshi, tunatangaza kwasababu kuna watu wanapotosha ukweli
Utakuwa hujaona beneficiaries wanaoishi ughaibuni basi[emoji1][emoji1]Kuna ka kipengele TBC wameweka wakati wa habari za usiku wamekaita Wabongo Ughaibuni, watu wenyewe hata kiswahili fasaha hawajui wanasifia ma interchange ya ccm.
Elewa basi, nimekuambia kama hutaki niongee na wewe acha kupotosha kuwa hakuna kilichofanyika au kukebehi. Yaani nyie muwaambie watanzania habari za uongo halafu utake tunyamaze, hiyo tumekataa mchana kweupeee
Dah kumbe watumishi wa umma wanashindia mlo mmoja, sawa nashukuru kwa taarifaKiujumla Meko hakuna alichofanya mkuu. Hayo madaraja hayana msaada wowote kwa watanzania wanaoshindia mlo mmoja hasa watumishi wa umma.
Kwn Kuna sehemu nimeandika hakuna kilichofanyika?. Au unajistukiaElewa basi, nimekuambia kama hutaki niongee na wewe acha kupotosha kuwa hakuna kilichofanyika au kukebehi. Yaani nyie muwaambie watanzania habari za uongo halafu utake tunyamaze, hiyo tumekataa mchana kweupeee
Mleta mada; muhimu kujua kuwa sisi ni watanzania kwanza kabla ya kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa. Hivyo mwanaCCM anapoelezea mazuri yaliyofanyika, asibaguliwa, yeye naye ni mnufaika Kama mtanzania mwingine yeyote yule.
Tunalazimika pia kujitangaza kwani sisi Ni chama cha siasa na tuliahidi kutekeleza. Kama hiyo haitoshi, tunatangaza kwasababu kuna watu wanapotosha ukweli
Kwani kuna sehem au sheria inawakataza kuyaelezea waliyofanya??? Mnajifanya kulilia demokrasia ila kwa upande wenu tu ikiwa kwa upande mwngne mnaanza kutoa povuKama kweli umetekeleza na yanaonekana kwa macho ya kawaida kwnn utumie nguvu kuyaelezea?? Acha watu baki ndo wayaelezee ww tulia
Waswahel wanaaema CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITANGAZANakumbuka wakati nafanya kwenye NGO moja ni International ilikuwa akija Mgeni yaani wafadhiri wa mradi tulikuwa haturuhusiwi sisi staff kuongelea tulicho kifanya bali wale wanufaika ndo pekee waliruhusiwa kueleza kama wananufaika kweli au la na some time walikuwa wanatuumbua vibaya mno.
Sasa CCM hayo maendeleo kama watu wamenufaika watayatangaza, sasa hizi nguvu zote za kuyatangaza ni ili iweje? Beneficiary wako wapi? Mbona hawatangazi?
Ngugu zinazo tumika kutangaza mafanikio zina walakini kwa sababu kama mafanikio watu wamefanikiwa automatic watatangaza.
Nimechekaaaaa😆😆😆😆nhiii!Unapita mtaani unajigamba unamfikisha mkeo kileleni kila siku kumbe humfikishi na hujui kama unamfikisha au la! Huku mkeo anakuchora tu anasema hiiiiiiiiiiii
Hauwezi kupotosha kitu kinachoonekana, tatizo ni pale anayetaka sifa anaamua kujazia nyama bila kuangalia umbile. Miradi yote inajengwa kwa pesa za watanzania, misaada na mikopo, wewe unatuambia imejengwa kwa pesa za Magufuli! Huo ni uporaji.Siwezi kutulia watu wakipotosha. Hakuna mtu baki, yote yanatuhusu sisi kama watanzania
Usiseme waliyoyafanya wakati pesa ni za kodi zetu wote, unasema umenunua ndege wapinzani nao watapanda! Mbona kodi zao unazichukua! Ukichukua lazima ulete mrejesho, si hiari.Kwani kuna sehem au sheria inawakataza kuyaelezea waliyofanya??? Mnajifanya kulilia demokrasia ila kwa upande wenu tu ikiwa kwa upande mwngne mnaanza kutoa povu
Usiseme waliyoyafanya wakati pesa ni za kodi zetu wote, unasema umenunua ndege wapinzani nao watapanda! Mbona kodi zao unazichukua! Ukichukua lazima ulete mrejesho, si hiari.
Aliehusika kufanya hayo yote nani?? Basi hizo hela ziwekwe kwenye kibubu halafu zifanye hayo zenyeweUsiseme waliyoyafanya wakati pesa ni za kodi zetu wote, unasema umenunua ndege wapinzani nao watapanda! Mbona kodi zao unazichukua! Ukichukua lazima ulete mrejesho, si hiari.