PreGE2025 CCM Ludewa yapiga 'stop' wapambe, matarumbeta uchukuaji fomu

PreGE2025 CCM Ludewa yapiga 'stop' wapambe, matarumbeta uchukuaji fomu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa, kimepiga marufuku wagombe wa ubunge na udiwani kuambatana na wapambe wakati wa uchukuaji fomu.

Aidha,kimesema uchukuaji fomu utaanza Jumamosi ya Juni 28, mwaka huu hadi Julai 2,mwaka huu.

"Wagombea wote hawatakiwi kuambatana na wapambe wowote, shamra shamra za aina yoyote Ile! Ikiwemo ngoma, matarumbeta n.k. bali wanapaswa kuchukua fomu kimya kimya,"imesema taarifa kwa umma.
1750917656925.png

Chanzo: Nipashe​
 
Back
Top Bottom