dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Kufanyia
Msafara wa mwenyekiti wa chama hasa walinzi na vitu vingine havigharamiwi na chama kwasababu wale wanamlinda rais popote alipo na gharama hazibebwi na Chama.
Sasa kama wakifanyia ikulu wanapunguza gharama kwa nchi ni jambo Jema.
Piga hesabu gharama za msafara wa rais, Makamu wa rais na waziri mkuu.
Halafu njoo kwa wananchi watakaosimamishwa barabarani ili kupisha misafara Hiyo jumlisha masaa yao kwa ujumla ni uzalishaji kiasi gani utakua umesimama.
Kufanyia Ikulu naona inatupunguzia gharama na Bugdha wananchi.
Wafanyie tu Ikulu kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufanyia ikulu Kunapunguza gharamawewe ni wale wale tu,Kuna tofauti kati ya kazi za chama na kazi ya nchi,na kuna tofauti kati ya mali za chama na mali za umma,kutawala nchi siyo sababu ya kutumia mali za umma kwa shughuli za chama,chama kinapewa ruzuku,kinapaswa kutumia pesa hiyo kufanya shughuli zake,unachosema wewe ni kuwa kwa kuwa wewe ni meneja au director somewhere na baba wa familia kwa hiyo unaweza kutumia resources za ofisini kwako kufanya kazi za familia yako.too unprofessional