CCM: Maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa

Na wale waliokua wanamhoji benard member wako wapi?maana siwaasikii kabisa.
 
Mkuu kwani wenye sifa za uongozi huko CCM na UVCCM wanatoka Iringa/Njombe tu.
Hakuna hilo suala, viongozi wote wana sifa zinazohitajika. Ndiyo maana wanathibitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM sambamba na kuteuliwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
Katika Chama Cha Mapinduzi binadamu wote ni sawa na cheo ni dhamana.

Sifa Kuu ni hizi hapa chini zingine zinafuata kwa kuzingatia kanuni.

 
Vijana wengi wameteuliwa mkuu katika zile nafasi 139.
Kinachoniuma kuachwa sisi wajenzi wa chama kuchukuliwa watu ambao hawajui hata kirefu cha ccm wala hawajawahi kuvaa mashati ya kijani.... naumia sana
 
Kihongosi mbna ni wahaya? Kenani kwao kagera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…