GE2025 CCM mabango yenu kila sehemu yanaboa. Naomba kamati za mazingira mliangalie hili

GE2025 CCM mabango yenu kila sehemu yanaboa. Naomba kamati za mazingira mliangalie hili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Nimechoka kuona mabango ya CCM mtaaani.

Yaani kila sehemu ni mabango tu. Nimeenda pale Makumbusho mabango yako hadi kwenye magari

Halmshauri mko wapi? Mazingira kwa kweli ni mabovu na machafu maana kuna karatasi kila sehemu

CCM watafute namna ya kufanya kampeni zao bila sisi wananchi kuona mabango yao kila sehemu

Mnachafua mazingira!
 
Back
Top Bottom