LGE2024 CCM MAGENIUS? Sijasikia wamepata misukosuko kwenye kipindi hiki cha uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
CCM hutoa semina kwa wanachama wake kabla ya kuchukua fomu za kugombea. Na ni semina kweri kweri! Vyama vingine ndio huamini wagombea wao ni majiniasi hawajitaji semina yoyote. Na hayo ndio matokeo yake.
 
Naomba kujua tu
1. Sijaona kupata msuko msuko kwa vyombo vya dola wakati wa kampeni

2. Sijasikia kuenguliwa kwa wagombea wake

3. Sijasikia kupata msuko msuko kwa wakala wake
Hii tofauti na vyama vya upinzani
wao ndo watengeneza makosa kwa ajili ya wapinzani. Kwa hiyo hawawezi kupata misukosuko. Wakikosea wanasaidiwa na wasimamizi kurekebisha.
 
CCM hutoa semina kwa wanachama wake kabla ya kuchukua fomu za kugombea. Na ni semina kweri kweri! Vyama vingine ndio huamini wagombea wao ni majiniasi hawajitaji semina yoyote. Na hayo ndio matokeo yake.
Bado unaamini watu wamelala kiasi hicho? Ukiona chama kinategemea ushindi wa hila tu, ujue chama hicho siku zake zinahesabika.
 
Naomba kujua tu
1. Sijaona kupata msuko msuko kwa vyombo vya dola wakati wa kampeni

2. Sijasikia kuenguliwa kwa wagombea wake

3. Sijasikia kupata msuko msuko kwa wakala wake

Hii tofauti na vyama vya upinzani, naomba kujua hawa ni Genius?

100% perfect

PIA SOMA

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Vyama vya upinzani vijijenge kitaasisi na sio kusubiri uchaguzi na kuanza kuleta malalamiko
Zanzibar hakuna uçhaguzi, huku hatuna mbadala. Mwinyi anatosha.
Magufuli alitusafishia njia sasa CCM tunateleza tuu.
Muungano Samia, Zanzibar Mwinyi.
 
Bado unaamini watu wamelala kiasi hicho? Ukiona chama kinategemea ushindi wa hila tu, ujue chama hicho siku zake zinahesabika.
Kuna Machizi tu ambao unaamua kuwapotezea. Mf Amos Makala Nape Nauye. Lakini nasikitika sana ninapomuona Mtu kama Emanuel Nchimbi aliyejijengea Heshima kubwa kwa miaka mingi eti nae anashiriki upuuzi kwenye chaguzi hizi.
 
Naomba kujua tu
1. Sijaona kupata msuko msuko kwa vyombo vya dola wakati wa kampeni

2. Sijasikia kuenguliwa kwa wagombea wake

3. Sijasikia kupata msuko msuko kwa wakala wake

Hii tofauti na vyama vya upinzani, naomba kujua hawa ni Genius?

100% perfect

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Vyama vya upinzani vijijenge kitaasisi na sio kusubiri uchaguzi na kuanza kuleta malalamiko
Kwa sababu wenyewe ndo wanasimamia kila kitu hata ikitokea mgombea wao akikosea kujaza fomu anapewa nyingine kazi inaendelea
 
Back
Top Bottom