wao ndo watengeneza makosa kwa ajili ya wapinzani. Kwa hiyo hawawezi kupata misukosuko. Wakikosea wanasaidiwa na wasimamizi kurekebisha.Naomba kujua tu
1. Sijaona kupata msuko msuko kwa vyombo vya dola wakati wa kampeni
2. Sijasikia kuenguliwa kwa wagombea wake
3. Sijasikia kupata msuko msuko kwa wakala wake
Hii tofauti na vyama vya upinzani
Inafanyika kisiri?CCM hutoa semina kwa wanachama wake kabla ya kuchukua fomu za kugombea. Na ni semina kweri kweri! Vyama vingine ndio huamini wagombea wao ni majiniasi hawajitaji semina yoyote. Na hayo ndio matokeo yake.
Bado unaamini watu wamelala kiasi hicho? Ukiona chama kinategemea ushindi wa hila tu, ujue chama hicho siku zake zinahesabika.CCM hutoa semina kwa wanachama wake kabla ya kuchukua fomu za kugombea. Na ni semina kweri kweri! Vyama vingine ndio huamini wagombea wao ni majiniasi hawajitaji semina yoyote. Na hayo ndio matokeo yake.
Wewe uliza ya kijitu kizima tuyajadili.Unauliza swali la kitoto kabisa,
Watapataje wakati wameshikilia dola na taasisi zote za umma?Naomba kujua tu
1. Sijaona kupata msuko msuko kwa vyombo vya dola wakati wa kampeni
2. Sijasikia kuenguliwa kwa wagombea wake
3. Sijasikia kupata msuko msuko kwa wakala wake
Hii tofauti na vyama vya upinzani, naomba kujua hawa ni Genius?
100% perfect
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Vyama vya upinzani vijijenge kitaasisi na sio kusubiri uchaguzi na kuanza kuleta malalamiko
CCM hutoa semina kwa wanachama wake kabla ya kuchukua fomu za kugombea. Na ni semina kweri kweri! Vyama vingine ndio huamini wagombea wao ni majiniasi hawajitaji semina yoyote. Na hayo ndio matokeo yake.
Ahahahahaha! CCM hairopokiropki mitandaoni linapokuja suala serious kama uchaguzi.Inafanyika kisiri?
Endelea kuota.Bado unaamini watu wamelala kiasi hicho? Ukiona chama kinategemea ushindi wa hila tu, ujue chama hicho siku zake zinahesabika.
Shauri yako. Ahahahahaha!!!Hiki ni nini?
Huyo ni magufuliHiki ni nini?
Zanzibar hakuna uçhaguzi, huku hatuna mbadala. Mwinyi anatosha.Naomba kujua tu
1. Sijaona kupata msuko msuko kwa vyombo vya dola wakati wa kampeni
2. Sijasikia kuenguliwa kwa wagombea wake
3. Sijasikia kupata msuko msuko kwa wakala wake
Hii tofauti na vyama vya upinzani, naomba kujua hawa ni Genius?
100% perfect
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Vyama vya upinzani vijijenge kitaasisi na sio kusubiri uchaguzi na kuanza kuleta malalamiko
Kuna Machizi tu ambao unaamua kuwapotezea. Mf Amos Makala Nape Nauye. Lakini nasikitika sana ninapomuona Mtu kama Emanuel Nchimbi aliyejijengea Heshima kubwa kwa miaka mingi eti nae anashiriki upuuzi kwenye chaguzi hizi.Bado unaamini watu wamelala kiasi hicho? Ukiona chama kinategemea ushindi wa hila tu, ujue chama hicho siku zake zinahesabika.
Kwa sababu wenyewe ndo wanasimamia kila kitu hata ikitokea mgombea wao akikosea kujaza fomu anapewa nyingine kazi inaendeleaNaomba kujua tu