LGE2024 CCM MAGENIUS? Sijasikia wamepata misukosuko kwenye kipindi hiki cha uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CCM hutoa semina kwa wanachama wake kabla ya kuchukua fomu za kugombea. Na ni semina kweri kweri! Vyama vingine ndio huamini wagombea wao ni majiniasi hawajitaji semina yoyote. Na hayo ndio matokeo yake.
Huna akili hata moja
 
kwanza,
wagombea wote wa CCM zaid ya 95% ni vijana wasomi, wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali ndani na nje ya nchi. kwahivyo kiwango cha kufanya mistake ni kidogo mno hususani kwenye ujazaji wa fomu, ukilinganisha na upinzani vijana ambao walisusa kujiandikisha, ikalazimu kuwasukumizia wazee wenye uoni hafifu, ambao hata kujaza fomu ilikua tabu,

fomu imefutwafutwa utadhani majibu ya kuibia kwenye mtihani dah!

Jambo la pili,
wamefanya kampeni za majukwaani na zile za nyumba kwa nyumba, kwa ustaarabu wa kiwango cha juu mno, ukilinganisha na vyama vingine.

Jambo la tatu nikimalizia,
mawakala wa wagombea makini mno wa CCM, wengi wamejitolea na ni watu ambao wamejiandikisha kupiga kura, na kwahivyo inatambulika ni wakazi wa eneo hilo,

ukilinganisha na upinzani ambao, mawakala wao wengi hawajajiandikisha na kwahivyo hawatambuliki ikiwa ni wakazi wa eneo hilo.

Hakuna muujiza kwenye mambo haya ndrugo zango. Ni kujipaga tu.

Usisahau kwenda kupiga kura gentleman πŸ’
 
Hakuna kitu hicho duniani kinazoweza kufanywa na kikundi cha watu duniani
 
Hakuna kitu hicho duniani kinazoweza kufanywa na kikundi cha watu duniani
Gentleman,
unapata wapi ujasiri ya kupinga ukweli huo bayana, wakati kitu hicho kimetokea mwaka huu2024 Tanzania, nchi ambayo ni sehemu ya Dunia.?πŸ’
 
Gentleman,
unapata wapi ujasiri ya kupinga ukweli huo bayana, wakati kitu hicho kimetokea mwaka huu2024 Tanzania, nchi ambayo ni sehemu ya Dunia.?πŸ’
Katika hata falsafa moja inayokubali hivyo
 
usishupaze sana shingo gentleman,

kumbuka,
mambo haya hayana extra time πŸ’
Mtume Muhammad (S.A.W) alisema: "Ikiwa mtu anakuja na kukufanyia dhihaka au kutaka kubishana, usijibu, kwa sababu anayekubali kubishana atakuwa sehemu ya tatizo." (Sunan Abu Dawood) Hadithi hii inaonyesha kuwa kubishana na watu wasioweza kujadiliana kwa hekima kunaweza kumuweka mtu kwenye hali ya kushiriki katika upumbavu, badala ya kutatua tatizo.
 
Matatizo binafsi hasa ya kiimani ni viizuri yakatatuliwa kibinafsi tena huko huko kwenye taasisi za imani husika,

vinginevyo ni usumbufu kwa wasio husika na kwa wengine ni kama ushirikina tu..

Ile ya maana zaidi katika siasa ni kujipanga tu gentleman, otherwise utambwelambwela mno kwa malalamiko na kiki za kutafuta huruma but mwishowe huwewi kuambulia chochote πŸ’
 
Kabudi juzi alisema biblia itumike, wewe ulitia mdomo wako?
 
CCM hutoa semina kwa wanachama wake kabla ya kuchukua fomu za kugombea. Na ni semina kweri kweri! Vyama vingine ndio huamini wagombea wao ni majiniasi hawajitaji semina yoyote. Na hayo ndio matokeo yake.

Ugenius wenyewe ndio huu au kuna mwengine?
 
Kabudi juzi alisema biblia itumike, wewe ulitia mdomo wako?
Gentleman.
nilitoa maelezo yangu kwa kina kwenye hilo wazo binafsi la huyo muungwana kwa uzi husika, na sina haja ya kubabaika na maoni zaidi ya nilio kwisha kuyatoa tayari kwenye bandiko lisilo husika
 
Mfano nyumba ni ya rafiki Ako wa dhati na mgombea ni wewe unadhani utapata shida hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…