GOKILI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 632
- 438
Wanajitengenezea njia ya kwenda The Hague. Asidhani CCM itatawala milele. Yeye apate Hayo mavyeo anayoyatami,ila kuna siku yeye na wenzie watalia na kusaga meno wakiwa The Hague.Huyo mama Mbeya kwani anakwenda kuongoza? Yeye anakwenda kama Milango wa kutokea tu ili kupata vyeo vingine kama usipika na uwaziri wa katiba.Hawezi kushinda ila atatangazwa chadema wakilala