Wanajitengenezea njia ya kwenda The Hague. Asidhani CCM itatawala milele. Yeye apate Hayo mavyeo anayoyatami,ila kuna siku yeye na wenzie watalia na kusaga meno wakiwa The Hague.Huyo mama Mbeya kwani anakwenda kuongoza? Yeye anakwenda kama Milango wa kutokea tu ili kupata vyeo vingine kama usipika na uwaziri wa katiba.Hawezi kushinda ila atatangazwa chadema wakilala
Tulia nguvu yake kubwa ipo nje ya sanduku la kura, kwenye sanduku la kura hatoboi.Kuna watu wanalizungumzia jimbo na mambo ya Mbeya, utadhani kweli wanafahamu siasa ya Mbeya. Huyo Tulia anayesemwa vibaya Twitter na JF, sio yule anayeonwa vibaya na wana Mbeya. Hao wengine watasubiri saana.
Mwanjelwa kaanza kitambo sana . Alizike na alicho nacho. Namuhitaji Tuliakwani hata Tulia nayeye c walewale wakuteuliwa chakula cha mzee