Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wakati uwanja wa Mkapa unazinduliwa, watanzania walijaa uwanjani na kuishangilia timu yao kwa bidii Sana.
Ghafla CCM mkaanza kuyafanya mafanikio ya Taifa stars kuwa ni mafanikio ya chama chenu. Hapo mamilioni ya watanzania timu yao wenyewe ikawatumbukia nyongo.
Sasa jumanne ya tarehe 19/11/2024 ni siku muhimu kwa Taifa Stars. CCM mna gundu na hii timu yetu, kaeni nayo mbali ili tusonge mbele.
Mambo ya kutumbukiza mazingaombwe ya chama chenu kwenye mechi hiyo, HATUTAKI.