Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kaaah.tutawaombea wafungwe kama wakileta mambo yao ya ccm
Yaani mwana FA ndiyo katoa hilo Boko? Mbona nilikuwa namuona kama born town fulani hivi😆😃😀Mwana FA kasema ushindi wa jana ni wa mama,haya sasa wakamfunge Guinea kazi kwao.
Nilikua naona aibu ila Mwana FA amenipa sababu ya kumuombea cleensheet kipa wetu Moussa CamaraWashaanza kusema ushindi wa jana ni juhudi za sa 100 nipo upande wa kina Camara.
Chukueni jukumu hilo Waja Hospital pelekeni usanii na utapeli wenu kenge nyieWakati uwanja wa Mkapa unazinduliwa, watanzania walijaa uwanjani na kuishangilia timu yao kwa bidii Sana.
Ghafla CCM mkaanza kuyafanya mafanikio ya Taifa stars kuwa ni mafanikio ya chama chenu. Hapo mamilioni ya watanzania timu yao wenyewe ikawatumbukia nyongo.
Sasa jumanne ya tarehe 19/11/2024 ni siku muhimu kwa Taifa Stars. CCM mna gundu na hii timu yetu, kaeni nayo mbali ili tusonge mbele.
Mambo ya kutumbukiza mazingaombwe ya chama chenu kwenye mechi hiyo, HATUTAKI.
Una mgagaziko? Mbona umeandika hueleweki unachotaka kusema isipokuwa hilo tusi la kuita watu kenge!Chukueni jukumu hilo Waja Hospital pelekeni usanii na utapeli wenu kenge nyie
bro huu ujumbe umeweka kwa kuchelewa tulionyesha umoja kuisapti timu yetu ya taifa ila kwa ujinga alioongea mwana FA kwamba huo ushindi wa juzi ni kwaajili ya mama, hatukotayari kupoteza muda wetu dua zote kwa Guinea taifa stars wapigwe 4:0Wakati uwanja wa Mkapa unazinduliwa, watanzania walijaa uwanjani na kuishangilia timu yao kwa bidii Sana.
Ghafla CCM mkaanza kuyafanya mafanikio ya Taifa stars kuwa ni mafanikio ya chama chenu. Hapo mamilioni ya watanzania timu yao wenyewe ikawatumbukia nyongo.
Sasa jumanne ya tarehe 19/11/2024 ni siku muhimu kwa Taifa Stars. CCM mna gundu na hii timu yetu, kaeni nayo mbali ili tusonge mbele.
Mambo ya kutumbukiza mazingaombwe ya chama chenu kwenye mechi hiyo, HATUTAKI.
wafungwe mengi walishaleta mambo ya kccmKaaah.