CCM mechi ya Taifa Stars na Guinea msilete mambo yenu uwanjani

Tujiandae kisaikolojia tu. Kwa mpira wa juzi wale jamaa hatutoboi.
 
Guinea SI ndio kwa kina Baltazar Engonga? Mtu mbad sana yule jamaa.

Niko pamoja nao ushindi kesho muhimu
 
Enzi za Blatter alikuwa hataki huu Upuuzi...
 
Enzi za Blatter alikuwa hataki huu Upuuzi...
Hata Sasa FIFA hawataki huu upuuzi wa siasa kwenye boli. Sema Karia ni pandikizi la CCM pale TFF, hivyo hawezi kukisaliti chama chake.
 
Hiyo lazima babu, si utawaona.
 
kkkkkkkk....CCM a.k.a ANDAZI wasivyopenda maendeleo ya stars basi watakuja na kimbelembele kwenye hii game mradi tu tufungwe
 
Samahani jamani naomba kuuliza, Guinea hii ndio ile ya Beltazar???
Ya Balthazar nl Equatorial Guinea makao makuu yake ni malabo hii tunayocheza nayo mji Mkuu wake ni Conakry.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…