Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari waungwana!
Ni dhahiri shahiri kuwa siasa za Afrika zina utofauti na mataifa mengine nje ya Afrika.
Kuna dhihaka na kebehi moja inafanywa na viongozi wa CCM juu ya wananchi. Dar es salaam ndio mji wa kibiashara lakini kila nikizunguka sioni hivyo viwanda vipya. Ukikaa pale Mbezi Mwisho huoni malori yanayoingiza bidhaa kutoka katika viwanda vya mikoani kuja Dar es salaam sokoni.
Hivi viwanda ambavyo waziri mwezi may Bungeni alitangaza kuwa viko mia kila mbona hatuvioni?
Kama wananchi wa Tanzania wataipa kura ccm bila kuonyeshwa hivi viwanda basi pasi na shaka hao wananchi watakuwa na mental disorder.
Uchaguzi 2020, onyesha viwanda upewe kura.