Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawewe mpiga porojo wa mtandaoni huko Lumumba wanakuhesabu kama kiwandaHata wasipokuonyesha haidhuru, na istoshe, ninyi Chadema mlihamasishana kipindi kile kwamba hakuna haja ya kujiandikisha kupiga Kura Kwa sababu zenu mlizozitaja,
Na sasa mnaingia kwenye uchaguzi, na mmewahamasisha kina Lisu wachukue fomu za uraisi, je Kura atawapigia Nani?
Unadhani viwanda vinawekwa kwenye picha kama vidole vya bavicha
Hivyo viwanda 8000 labda vya majungu,ubinafsi,roho mbaya,ufisadi,kukwapua pesa za watu,kuwapa matajiri ML.Habari waungwana!
Ni dhahiri shahiri kuwa siasa za Afrika zina utofauti na mataifa mengine nje ya Afrika.
Kuna dhihaka na kebehi moja inafanywa na viongozi wa CCM juu ya wananchi. Dar es salaam ndio mji wa kibiashara lakini kila nikizunguka sioni hivyo viwanda vipya. Ukikaa pale Mbezi Mwisho huoni malori yanayoingiza bidhaa kutoka katika viwanda vya mikoani kuja Dar es salaam sokoni.
Hivi viwanda ambavyo waziri mwezi may Bungeni alitangaza kuwa viko mia kila mbona hatuvioni?
Kama wananchi wa Tanzania wataipa kura ccm bila kuonyeshwa hivi viwanda basi pasi na shaka hao wananchi watakuwa na mental disorder.
Uchaguzi 2020, onyesha viwanda upewe kura.
Ukibisha eti unaleta matusi na kejeli. Hivyo ndio vituko vya mwaka huu.Vyerehani na mashine za matofali ndivyo viwanda vinavyosemwa!
WananchiHata wasipokuonyesha haidhuru, na istoshe, ninyi Chadema mlihamasishana kipindi kile kwamba hakuna haja ya kujiandikisha kupiga Kura Kwa sababu zenu mlizozitaja,
Na sasa mnaingia kwenye uchaguzi, na mmewahamasisha kina Lisu wachukue fomu za uraisi, je Kura atawapigia Nani?
Wananchi