Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
elfu 8 vyote vya nini baba watuonyeshe viwanda vipya 500 tuHabari waungwana!
Ni dhahiri shahiri kuwa siasa za Afrika zina utofauti na mataifa mengine nje ya Afrika.
Kuna dhihaka na kebehi moja inafanywa na viongozi wa CCM juu ya wananchi. Dar es salaam ndio mji wa kibiashara lakini kila nikizunguka sioni hivyo viwanda vipya. Ukikaa pale Mbezi Mwisho huoni malori yanayoingiza bidhaa kutoka katika viwanda vya mikoani kuja Dar es salaam sokoni.
Hivi viwanda ambavyo waziri mwezi may Bungeni alitangaza kuwa viko mia kila mbona hatuvioni?
Kama wananchi wa Tanzania wataipa kura ccm bila kuonyeshwa hivi viwanda basi pasi na shaka hao wananchi watakuwa na mental disorder.
Uchaguzi 2020, onyesha viwanda upewe kura.
Mmmh 500 vyote vya nini baba watuonyeshe viwanda vipya 100 tu
Ni kiwanda ndio.Kaangalie wenye vyerehani vinne walivyotengeneza pesa kipindi hiki cha corona kwa kushona barakoa na kuuzia machinga kwa bei ya jumla na kusafirisha mawilayani na minadani walivyopiga pesa.Watu walipata ajira kibao mafundi wakifanya kazi kwa shift ya masaa nane nane kukaa kwenye cherehani wakishona barakoa masaa 24 kwa siku.Cherehani moja ilitoa ajira ya watu watatu kwa kazi ya masaa 24 kwa cherehani nne zilitoa ajira kwa mafundi ushonaji 12 kwa sikuMfano mie Nina vyerehani vinne (4), kiwanda tayari. Kwa hiyo, mimi nina kiwanda usinione nazuga humu JF.
Jiwe hataki barakoa, anaona wenye vyerehani watafaidi kwa kuwa watatajirika fasta, na yeye hataki matajiri.Ni kiwanda ndio.Kaangalie wenye vyerehani vinne walivyotengeneza pesa kipindi hiki cha corona kwa kushona barakoa na kuuzia machinga kwa bei ya jumla na kusafirisha mawilayani.
Acha matusi, ligi ya matusi huiwezi. Sijamtusi mtu, ila naona unaanza kuleta dharau za reja reja.Kwa upumbavu ulionao kichwani kwako
kila ukiona cherehani hesabu umeona kiwanda
Machinga, bodaboda na mama lisheHabari waungwana!
Ni dhahiri shahiri kuwa siasa za Afrika zina utofauti na mataifa mengine nje ya Afrika.
Kuna dhihaka na kebehi moja inafanywa na viongozi wa CCM juu ya wananchi. Dar es salaam ndio mji wa kibiashara lakini kila nikizunguka sioni hivyo viwanda vipya. Ukikaa pale Mbezi Mwisho huoni malori yanayoingiza bidhaa kutoka katika viwanda vya mikoani kuja Dar es salaam sokoni.
Hivi viwanda ambavyo waziri mwezi may Bungeni alitangaza kuwa viko mia kila mbona hatuvioni?
Kama wananchi wa Tanzania wataipa kura ccm bila kuonyeshwa hivi viwanda basi pasi na shaka hao wananchi watakuwa na mental disorder.
Uchaguzi 2020, onyesha viwanda upewe kura.
Kwa akili ya lumumba ni viwandaNi kiwanda ndio.Kaangalie wenye vyerehani vinne walivyotengeneza pesa kipindi hiki cha corona kwa kushona barakoa na kuuzia machinga kwa bei ya jumla na kusafirisha mawilayani na minadani walivyopiga pesa.Watu walipata ajira kibao mafundi wakifanya kazi kwa shift ya masaa nane nane kukaa kwenye cherehani wakishona barakoa masaa 24 kwa siku.Cherehani moja ilitoa ajira ya watu watatu kwa kazi ya masaa 24 kwa cherehani nne zilitoa ajira kwa mafundi ushonaji 12 kwa siku
AU wewe kiwanda unataka kiweje mfano? Kwa upumbavu ulionao kichwani kwako
π Haa haaaaMachinga, bodaboda na mama lishe
Only by using electronic microscope.Ni viwanda visivyoonekana so havionekani kwa macho haya ya kawaida
Ni viwanda visivyoonekana so havionekani kwa macho haya ya kawaida