Hakuna muda wa kumgeuza ng'ombe kuitafuta kibraMwaka huu tunakula nao sahani moja haibiwi mtu kura.
Huu ujumbe uwafikie kipara kipya, @Wakudadavua, @hpolepoleMarehemu huwa hafufuki...akifufuka basi anakuwa kizuka ama mzimu
Jr[emoji769]
Sky Eclat,
Ni kweli, wajiandae kukaa benchi walau kwa miaka mitano.
Wizi wa kura kwa sasa hautosaidia. Na yale ya jecha na Lubuva kwa sasa hayawezekani.
Binafsi huwa nnatafakari ugumu wa kutawala ambao lisu anaweza kukumbana nao, kuiondoa system ya ccm serikalini.CCM jiandaemi kuwa chama cha upinzani, muone raha ya kugaiwa ruzuku na serikali iliyo madarakani.
Kwa kuheshimu katiba ya nchi sidhani kama mtazuiliwa kufanya siasa lakini mjiandae vyombo vya dola kuwaona kama raia wa kawaida.
Msione ajabu nusu ya wasanii kuunga mkono upinzani kwani hatimae watakua na uhuru wa kuchagua.
Upinzani unaheshimu taaluma, ajira zitatolewa kwa wenye sifa. Si tu kwa wanachama wa CCM.
Maendeleo yatawafikia Watanzania wote si tu waliochagua CCM.
Muda mtakaoutumia kuwa chama cha upinzani, mtajipanga upya ili mrudi madarakani mkiwa mmejinoa upya.
We shangazi peleka mihemuko yako hukoo.CCM jiandaemi kuwa chama cha upinzani, muone raha ya kugaiwa ruzuku na serikali iliyo madarakani.
Kwa kuheshimu katiba ya nchi sidhani kama mtazuiliwa kufanya siasa lakini mjiandae vyombo vya dola kuwaona kama raia wa kawaida.
Msione ajabu nusu ya wasanii kuunga mkono upinzani kwani hatimae watakua na uhuru wa kuchagua.
Upinzani unaheshimu taaluma, ajira zitatolewa kwa wenye sifa. Si tu kwa wanachama wa CCM.
Maendeleo yatawafikia Watanzania wote si tu waliochagua CCM.
Muda mtakaoutumia kuwa chama cha upinzani, mtajipanga upya ili mrudi madarakani mkiwa mmejinoa upya.
Sijui labda kwa tafsiri yako kuteka watu na kujeruhi wengine pia ni uzalendo.We shangazi peleka mihemuko yako hukoo
Waume zenu wakitumbilwa kwa kuiibia serkali basi mnapiga domoo.
Hebu tumuache JPM ajenge nchi hii na kiwaonyesha nn maana ya uzalendo.
Kelele zenu kapigeni kwa nyumbu wasojitambua huko