CCM mkiwa mnajiandaa kuwa Chama cha Upinzani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule mochwari mfu akifufuka huwa tunaua tena...unadhani tutawaambia nini ndugu zake wakija? Kuwa kafufuka?..no..no.no...hatutaki rabsha..

Jr[emoji769]
 
Kuota na kuishi kwa matumaini ni haki yako
 
Historia haikuwahi kudanganya, jino bovu likiishatolewa huwa haliwezi kurudishwa tena...no matter what, kuna mawili,lilipong'olewa pabaki pengo ama kuweka la bandia. Muda wa mabadiliko ni sasa or Never!
Pamoja sana
 
Natamani hio November ifike haraka.
Wakati lumumba wanaombea tungekuwa tupo mwezi wa pili ili wajipange upya, maana walisha jipa matumaini kuwa Lissu hawezi kurudi nyumbani.

Wakajitapa ooooh tunashinda ushindi wa kitambo kwa 99% kama ule wa serikali za mitaa
 
Dah!!😕😕 Chadema hampo serious mmekaa mkapanga na kupangua mwisho wasiku Lissu vs MAGUFULI really😲 Aaaaah! Hampo serious
just give them 50 years more brother😂😂😂
 
CCM wangeliona mbali angalau wangempa nafasi Mama Samia Suluhu apeperushe bendera yao kwa nafasi ya uraisi, angalau makundi mbalimbali ya Watanzania, ktk sekta tofauti waponye majeraha kutokana na madhila waliyoyapitia kwa miaka mitano iliyopita.
 
Ndoto za alinacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…