Mkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania.
Watu wananuka shida, maisha ni magumu kila kona, lakini CCM hawakuona aibu kutumia mabilioni ya watanzania walipa kodi, kusomba watu, wasanii, watangazaji, vyombo vya habari vyote ili wakusanyike Dodoma kwa ajili ya kusomewa jina la makamu mwenyeketi wa chama.
Ni uchungu sana kwa nchi kama hii, kutumia pesa za Watanzania vibaya namna ile, hakukuwa na ulazima kabisa, mungeitana wajumbe tu ingetosha.
Imeniuma sana kuona Watanzania tunachezewa namna ile.
Watanzania tukajiandikishe kupiga kura, tufanye mabadiliko ya utawala, hii hali ni mbaya sana, yaani CCM ni inatuburuza tu.