Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Umenikumbusha kuna kitu kinaitwaKuna usemi unasema There's safety in numbers
Ukiangalia kwenye animal kingdom
"Dilution factor" kwenye concept ya usalama wa wanyama wanapokuwa wanawindwa na wanyama wakali kwa ajili ya kuliwa.
Kadri wanyama wanavyokuwa wengi, ndivyo uwezekano wa mnyama mmoja kuliwa unakuwa mdogo.
Kinyume chake pia ni kweli.