CCM mlichokifanya kwenye mkutano wenu wa tarehe 17-18 Januari 2025 ni kuwatukana Watanzania

Kuna usemi unasema There's safety in numbers
Ukiangalia kwenye animal kingdom
Umenikumbusha kuna kitu kinaitwa
"Dilution factor"
kwenye concept ya usalama wa wanyama wanapokuwa wanawindwa na wanyama wakali kwa ajili ya kuliwa.
Kadri wanyama wanavyokuwa wengi, ndivyo uwezekano wa mnyama mmoja kuliwa unakuwa mdogo.
Kinyume chake pia ni kweli.
 
Umenikumbusha kuna kitu kinaitwa
"Dilution factor"
kwenye concept ya usalama wa wanyama wanapokuwa wanawindwa na wanyama wakali kwa ajili ya kuliwa.
Kadri wanyama wanavyokuwa wengi, ndivyo uwezekano wa mnyama mmoja kuliwa unakuwa mdogo.
Kinyume chake ni pia ni kweli.
Haswa mkuu
Wakikusanyika wengi wanakuwa na amani 😄
 
we piga domo sisi tumetoka pale ukumbini tukiwa kifua mbele 2025 nimewaleza wanafamilia yangu kama humu ndani kuna kenge basi chaguzi hii awe mamba mara moja na haya ni maagizo toka kwa mkuu wa kaya
 
Mkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania.

Watu wananuka shida, maisha ni magumu kila kona, lakini CCM hawakuona aibu kutumia mabilioni ya watanzania walipa kodi, kusomba watu, wasanii, watangazaji, vyombo vya habari vyote ili wakusanyike Dodoma kwa ajili ya kusomewa jina la makamu mwenyeketi wa chama.

Ni uchungu sana kwa nchi kama hii, kutumia pesa za Watanzania vibaya namna ile, hakukuwa na ulazima kabisa, mungeitana wajumbe tu ingetosha.

Imeniuma sana kuona Watanzania tunachezewa namna ile.

Watanzania tukajiandikishe kupiga kura, tufanye mabadiliko ya utawala, hii hali ni mbaya sana, yaani CCM ni inatuburuza tu.
Sisi Watanganyika tuko salama kabisa.. Waliodhihakiwa ni wale wa kijani kibichi
 
Mkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania.

Watu wananuka shida, maisha ni magumu kila kona, lakini CCM hawakuona aibu kutumia mabilioni ya watanzania walipa kodi, kusomba watu, wasanii, watangazaji, vyombo vya habari vyote ili wakusanyike Dodoma kwa ajili ya kusomewa jina la makamu mwenyeketi wa chama.

Ni uchungu sana kwa nchi kama hii, kutumia pesa za Watanzania vibaya namna ile, hakukuwa na ulazima kabisa, mungeitana wajumbe tu ingetosha.

Imeniuma sana kuona Watanzania tunachezewa namna ile.

Watanzania tukajiandikishe kupiga kura, tufanye mabadiliko ya utawala, hii hali ni mbaya sana, yaani CCM ni inatuburuza tu.
 
Attachments

  • v09044g40000cu8cf9fog65g717gh240.mp4
    8.8 MB

Mtaendelea kuburutwa tu hadi hapo mafuvu yarudishiwe akili kumbuka tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi pia unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe, jamii ambayo ukiiambia Kuna fursa ya mikopo wanajifunga na vibwebwe watekesha hata kwa muda wa wiki nzima wanaacha shughuri zao kwa muda wawiki nzima lakini wanaambulia patupu

Jamii ambayo inaendesha maisha kwa mikopo, yenye marejesho ya kila siku inaitwa kausha damu kwasababu kipato ni kidogo kuliko marejesho, mfano unaingiza Kila siku elfu 5 halafu marejesho Kila siku elfu 8 inamaana utaishi kwa shida
 
Mkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania.

Watu wananuka shida, maisha ni magumu kila kona, lakini CCM hawakuona aibu kutumia mabilioni ya watanzania walipa kodi, kusomba watu, wasanii, watangazaji, vyombo vya habari vyote ili wakusanyike Dodoma kwa ajili ya kusomewa jina la makamu mwenyeketi wa chama.

Ni uchungu sana kwa nchi kama hii, kutumia pesa za Watanzania vibaya namna ile, hakukuwa na ulazima kabisa, mungeitana wajumbe tu ingetosha.

Imeniuma sana kuona Watanzania tunachezewa namna ile.

Watanzania tukajiandikishe kupiga kura, tufanye mabadiliko ya utawala, hii hali ni mbaya sana, yaani CCM ni inatuburuza tu.
Kabisa, ni upotevu mkubwa wa fedha za umma.
 
Walipanga zile tarehe makusudi wakidhani wangezima attention ya Nchi kufuatilia Chadema,lakini wamepata aibu kubwa sanaaaaa.Wamevunja na Katiba ya Chama kupitisha wagombea wa Urais lakini wapi.Unajua Mungu amekwisha amua chama chao kichanike this year.
 
Unatumia mabilioni ya pesa za watanzania kumpeleka Steve Mengele, jb na Diamond kwenda kuwasomea jina la makamu mwenyekiti zee la hovyo la miaka 80?

Katika wazee wa hovyo na Kikwete kaingia katika orodha
 
Hivi kuna mtu alidhani, kwamba jina linaenda kusomwa diamond platinumz mwenyekiti mpya, au jb, au mengele? Aya basi au january makamba, au kikwete? Au jokate?
Kuna mtu alidhani?
Ndio maana ukaitwa mkutano maalumu. Kwaajili ya sababu zile, na ilishafahamika ni kinana ndio anaenda kuwa replaced, hata swala la makamu lililetwa pale.
Ccm ilikua inaenda na samiah tu. afe kipa afe beki.
Hivo msilete justifications zenu,
 
Back
Top Bottom