CCM mmeridhika sasa? Bodi ya ligi ya tanganza kuufunga uwanja wa BMW kwa muda usiojulikana!

CCM mmeridhika sasa? Bodi ya ligi ya tanganza kuufunga uwanja wa BMW kwa muda usiojulikana!

Kwani mkuu wewe kinachokutesa nikipi?

Kwani Kuna hela ya ukarabati watakutaka utoe kutoka mfukoni mwako?

Kwani hizo timu zinazotumiaga huo uwanja kuchezea VPL Zina miaka mingapi toka zianzishwe?

Maoni yangu: Enyi Bodi husika Inatakiwa msifungie kabisa hizi timu za Simba na Yanga kutumia huo uwanja mpaka pale watakapo pata akili ya kujenga na kutumia viwanja vyao wenyewe.

Kama Azam waliweza iweje Hawa wakongwe wasiweze?
Wanasubiri mfalme wa murocco akijenga wa dodona.akija mfalme mwingine nao waombe
 
Hii ni sababu pia ya kutoipigia kura ccm kwa uharibifu na kutojali sekta ya michezo
 
Acha kudanganya wenzio, meneja wa uwanja wa mkapa alisema uwanja umefungwa kwa sababu wanategemea kupisha shughuli za kiserikali zitakazofanyika hapo na uwanja kwa ujumla uko vzr kila sehemu.
Mmmhh kumbe tunadanganywa [emoji1][emoji1][emoji1]siyo kweli sehemu ya kuchezea soka kwenye uwanja wa Mkapa una vipara .
 
Back
Top Bottom