Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
...Pia watagawa kanga,kofia na chumvi..kwisha habariPolisi, NEC,na TISS watamaliza kila kitu ushindi wa tsunami saa nne tu.
Nyie watu wa viwango vya chini ndio mnaiona, wenzenu wa viwango vya juu huko uingereza yule mdada na waziri wake wa fedha hawakumaliza wiki nje, hizo ndizo nchi zenye watu wa viwango vya juu siyo nyie mnashangilia visima vya miaka ya 40!We unaishi dunia gani mpaka usione kazi inayofanywa na ccm???
Hawa ndo wazee wa burudani raundi hii kwaiyo kinachoendelea huku chini haelewi kabisa.Nyie watu wa viwango vya chini ndio mnaiona, wenzenu wa viwango vya juu huko uingereza yule mdada na waziri wake wa fedha hawakumaliza wiki nje, hizo ndizo nchi zenye watu wa viwango vya juu siyo nyie mnashangilia visima vya miaka ya 40!
Hao ndio watakaosaidia wananchi safari hii kupindua meza,nao wanandugu wanateseka,wamechoka huu upuuzi unaoendeleaPolisi, NEC,na TISS watamaliza kila kitu ushindi wa tsunami saa nne tu.
Wewe umetokea wapi?.We unaishi dunia gani mpaka usione kazi inayofanywa na ccm???