Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa JPM amefufukaHii ni hadi leo, ila siku hizi watu wanaogopa tu kutekwa
Wazee ilibidi waombe msamahanyoosha maelezo kwamba wachaga walitishiwa watatengwa ama wawe CCM kama makabila mengine .
wenyewe wakachagua kua CCM
this was one of the worst magufuli decision ever
ndo iko hivyo mzee nyuma ya pazia kuna rafu mbaya sana wangechezewa akina mangi sema waligundua. mapema
LissuHii ni hadi leo, ila siku hizi watu wanaogopa tu kutekwa
huku jf usitumie sana majina yako mzee hakuna mtu anaetka kukujua sana .Ccm imetawala Kilimanjaro kwa sasa
Mbowe na matapel wenzake wanageukana huko now
Jambazi na rasi naona leo kachomoa betri
Wewe mshamba tuliahuku jf usitumie sana majina yako mzee hakuna mtu anaetka kukujua sana .
naona majina kamili mengi yenye masawe