CCM mnaikumbuka hii?

CCM mnaikumbuka hii?

Hii ni hadi leo, ila siku hizi watu wanaogopa tu kutekwa
 
Umetumia factor gani kusema 90% ya Tanzania ni CCM yani wabongo
67.44 million (WB, 2023) Sawa na watanzania 60,696,000 wote wawe wana CCM au wanaielewa CCM? Lazima utakua unatania!
 
nyoosha maelezo kwamba wachaga walitishiwa watatengwa ama wawe CCM kama makabila mengine .
wenyewe wakachagua kua CCM

this was one of the worst magufuli decision ever
Wazee ilibidi waombe msamaha

1000019679.jpg
1000019682.jpg
 
Ccm imetawala Kilimanjaro kwa sasa

Mbowe na matapel wenzake wanageukana huko now

Jambazi na rasi naona leo kachomoa betri
 
Back
Top Bottom