Uchaguzi 2020 CCM mnajitapa kuwang'oa wapinzani katika majimbo yao kwa gharama yoyote, hiyo gharama muitumie kuondoa umaskini kwa wananchi

Kipaumbele chetu si maendeleo ya hao wadanganyika,hao wameshazoe mafuriko,kipindupindu,kukosa dawa,barabara mbovu,Bora watoto wakacheze shule kuliko kushinda nyumbani na uchafu mwingine wowote,so kibaumbele kwa sasa ni kuwa madarakani kwa hiari yao au kwa nguvu
 
Umasikini ndiyo mtaji wa CCM, bila umasikini hakuna atakayewasikiliza ndiyo sababu kila siku wanajivunia nchi ya masikini na wanyonge.
 
Kilosa,Handeni,Dodoma yote n.k
 
Mkuu, ni ukweli uliokuwa wazi kuwa, kwa kadiri umaskini, ujinga na maradhi yanavyoongezeka miongoni mwa Watanzania, ndivyo pia ambavyo CCM inazidi kukubalika mno, na hasa maeneo ya vijijini, "and vice versa". Ama kwa lugha nyingine tunaweza kusema ni vitu pacha na vyenye kutegemeana katika uhakika maisha ya kila kimoja.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIMI NINGEWASIFU CCM KAMA WANGESEMA TUTAONDOA UMASIKINI, UJINGA NA MARADHI KWA GHARAMA YOYOTE ILE. HAPO NINGEWASIFU. LAKINI KUJITAPA KUWA MTAFUTA WABUNGE WA UPINZANI SIYO HABARI NZURI KWETU MAANA HAPO NDIO UTAKUWA MWISHO WA KITU KIITWACHO TANZANIA.
 
A very understanding satirical reply! Kama nawaona mataga wanavyojisikia vibaya kwa hoja hii inavyojengwa na kujibiwa kiufundi!
 
Halafu wakishinda, wana quote na biblia kwamba mamlaka imewekwa na Mungu, tuiheshimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo bongo ni taifa la wajinga ndio maana waona na kusikia upumbavu wote huoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilosa,Handeni,Dodoma yote n.k
Wanyonge wanatambuliwa wakati wa kupiga kura kwenye kitabu changu cha ujasiliamali nimetaja chanzo rahisi cha kupata mtaji wa biashara ni toka kwa wanasiasa kipindi cha uchaguzi mkuu maana wengine hutumia gharama zozote ili washinde nikipindi kizuri cha mavuno kwa kutumia unafiki 'unapiga hela toka kwa wanasiasa'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
h
hata darasa la tatu kuna topc cjui ndo wanaiita "udadisi" or "probing issues"ambayo inamuhitaji mtu kufikir,ss huyu sungukuku kasomea ile elimu ya ngumbaru n mweupe kabixa kichwan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…