CCM mnapongeza wafanyakazi kuongezwa mishahara kwani imeongezwa tayari? Acheni siasa za kitapeli

CCM mnapongeza wafanyakazi kuongezwa mishahara kwani imeongezwa tayari? Acheni siasa za kitapeli

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Wewe mwenezi wa CCM taifa unajitambua kweli? Mishahara haijaongezwa maana bado kuna majadiliano wewe unaleta uongo.
20220502_214808.jpg
 
Viongozi wa ccm ni waongo na waonevu sana kwa watumishi wa umma.
 
Back
Top Bottom