M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 May 2, 2022 #1 Wewe mwenezi wa CCM taifa unajitambua kweli? Mishahara haijaongezwa maana bado kuna majadiliano wewe unaleta uongo.
Wewe mwenezi wa CCM taifa unajitambua kweli? Mishahara haijaongezwa maana bado kuna majadiliano wewe unaleta uongo.
U Undu JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,892 May 2, 2022 #2 Viongozi wa ccm ni waongo na waonevu sana kwa watumishi wa umma.
Mwanakwetuuu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2022 Posts 1,011 Reaction score 2,283 May 2, 2022 #3 Kwa hiyo bodi imekuja na majibu
ANAUPIGA MWINGI JF-Expert Member Joined Apr 14, 2022 Posts 389 Reaction score 757 May 2, 2022 #4 Undu said: Viongozi wa ccm ni waongo na waonevu sana kwa watumishi wa umma. Click to expand... Sio waongo, bali wakulamiwa ni Vyama vya Wafanyakazi na hao wanachama, Wanachama ni waoga kuliko kitu chochote kile,
Undu said: Viongozi wa ccm ni waongo na waonevu sana kwa watumishi wa umma. Click to expand... Sio waongo, bali wakulamiwa ni Vyama vya Wafanyakazi na hao wanachama, Wanachama ni waoga kuliko kitu chochote kile,