R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Nov 21, 2021 #21 Behaviourist said: View attachment 2017150 Click to expand... Anapaka Rangi kwenye barabara ya vumbi
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Nov 21, 2021 #22 Pythagoras said: Anapaka Rangi kwenye barabara ya vumbi Click to expand... Wanyonge watamwelewa TU hata kama hawataki.
Pythagoras said: Anapaka Rangi kwenye barabara ya vumbi Click to expand... Wanyonge watamwelewa TU hata kama hawataki.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Nov 21, 2021 #23 Pythagoras said: Anapaka Rangi kwenye barabara ya vumbi Click to expand... Hiyo ni ile zebra ya kuvukia.Anachora zebra ya kuvukia kwenye barabara ya porini ambayo hakuna hata watu/watembea kwa miguu.
Pythagoras said: Anapaka Rangi kwenye barabara ya vumbi Click to expand... Hiyo ni ile zebra ya kuvukia.Anachora zebra ya kuvukia kwenye barabara ya porini ambayo hakuna hata watu/watembea kwa miguu.
ostrichegg JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 12,050 Reaction score 6,199 Nov 21, 2021 #24 Smart911 said: Kila awamu huja na jambo jipya... Click to expand... Ambalo si sera matakwa/mahitaji halisi ya nchi, wananchi, wakati wala nyakati.
Smart911 said: Kila awamu huja na jambo jipya... Click to expand... Ambalo si sera matakwa/mahitaji halisi ya nchi, wananchi, wakati wala nyakati.
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Nov 21, 2021 #25 Behaviourist said: Hiyo ni ile zebra ya kuvukia.Anachora zebra ya kuvukia kwenye barabara ya porini ambayo hakuna hata watu/watembea kwa miguu. Click to expand... π π π
Behaviourist said: Hiyo ni ile zebra ya kuvukia.Anachora zebra ya kuvukia kwenye barabara ya porini ambayo hakuna hata watu/watembea kwa miguu. Click to expand... π π π
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Nov 21, 2021 #26 Behaviourist said: Hiyo ni ile zebra ya kuvukia.Anachora zebra ya kuvukia kwenye barabara ya porini ambayo hakuna hata watu/watembea kwa miguu. Click to expand... Hapa hata swala wanatakiwa wajitambue kama ni wanyonge na wanao watetezi walioficha visu vyao , huku wakiwamezea mate.
Behaviourist said: Hiyo ni ile zebra ya kuvukia.Anachora zebra ya kuvukia kwenye barabara ya porini ambayo hakuna hata watu/watembea kwa miguu. Click to expand... Hapa hata swala wanatakiwa wajitambue kama ni wanyonge na wanao watetezi walioficha visu vyao , huku wakiwamezea mate.