Anapaka Rangi kwenye barabara ya vumbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapaka Rangi kwenye barabara ya vumbi
Wanyonge watamwelewa TU hata kama hawataki.Anapaka Rangi kwenye barabara ya vumbi
Hiyo ni ile zebra ya kuvukia.Anachora zebra ya kuvukia kwenye barabara ya porini ambayo hakuna hata watu/watembea kwa miguu.Anapaka Rangi kwenye barabara ya vumbi
Ambalo si sera matakwa/mahitaji halisi ya nchi, wananchi, wakati wala nyakati.Kila awamu huja na jambo jipya...
😅😅😅Hiyo ni ile zebra ya kuvukia.Anachora zebra ya kuvukia kwenye barabara ya porini ambayo hakuna hata watu/watembea kwa miguu.
Hapa hata swala wanatakiwa wajitambue kama ni wanyonge na wanao watetezi walioficha visu vyao , huku wakiwamezea mate.Hiyo ni ile zebra ya kuvukia.Anachora zebra ya kuvukia kwenye barabara ya porini ambayo hakuna hata watu/watembea kwa miguu.