mwakalingajamson
Member
- Jun 21, 2025
- 7
- 6
Naandika kuwataka viongozi wa CCM moshi mjini mwenyekiti wangu wa wilaya mzee Faraj Swai,chukueni hatua kwa makada hawa wawili Juma Raibu na Gadafi kuchapana makonde ndani ya ofisi ya chama.
Wawili hawa walizozana wakati zoezi la udhamini likiendelea kwa mgombea wa chama cha mapinduzi Jimbo la Moshi Mjini,Ibrahim Shayo,'kaka wa jimbo' nakuleta taharuki kubwa kwa umati uliofulika nje ya ofisi za chama wilaya.
Kwa sisi tuliokuwa nje hatukuweza kufahamu halaka nini chanzo cha wawili hawa kushikana mashati na kuchapana makonde,shukrani kwa makamanda wetu waliokuwa karibu walipokimbia hap ndani na kutuliza fujo hizo.
Tukio hilo la jumatatu mchana limetia doa shamrashamra za uchukuaji wa fomu kwa kada wetu Irahim Shayo na ni lazima likemewe kwa nguvu zote.
ni hayo tu kwa leo