CCM MPs kukutana hadi usiku, MOTO!!!

CCM MPs kukutana hadi usiku, MOTO!!!

Hallelujaah....................... now freedom is coming

Moto huo huo MPz. shikilieni hapo hapo........... looo... siamini kama haya yote yanatokea nchini kwangu... ukombozi umefika
 
jamani hata kwenye maslahi ya taifa?CCM kama chama hakina kosa!ila kuna watu
ndani ya CCM wanatumia huo mwanya kufisadi!sasa waziri kweli anasema EPA ni ya wapinzani jamani!
halafu unasema Sendeka ni mpayukaji!hivi kweli wewe unaesema hivi ni mtanzania au?


It depends on how u define who is a Tanzanian....
 
Hii inanikumbusha niimbe wimbo huu


Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!

Preacherman, don't tell me,
Heaven is under the earth.
I know you don't know
What life is really worth.
It's not all that glitters is gold;
'Alf the story has never been told:
So now you see the light, eh!
Stand up for your rights. Come on!

Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!


Most people think,
Great God will come from the skies,
Take away everything
And make everybody feel high.
But if you know what life is worth,
You will look for yours on earth:
And now you see the light,
You stand up for your rights. Jah!

Get up, stand up! (Jah, Jah!)
Stand up for your rights! (Oh-hoo!)
Get up, stand up! (Get up, stand up!)
Don't give up the fight! (Life is your right!)
Get up, stand up! (So we can't give up the fight!)
Stand up for your rights! (Lord, Lord!)
Get up, stand up! (Keep on struggling on!)
Don't give up the fight! (Yeah!)

We sick an' tired of-a your *ism-skism game -
Dyin' 'n' goin' to heaven in-a Jesus' name, Lord.
We know when we understand:
Almighty God is a living man.

You can fool some people sometimes,
But you can't fool all the people all the time.

So now we see the light (What you gonna do?),
We gonna stand up for our rights! (Yeah, yeah, yeah!)
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi............ msumariii....unachoma kotekote...... kwi kwi kwi kwi .....
 
Huyu Ole Sendeka namwaminia sana.
Uchaguzi ujao wanaweza wakaliengua jina lake kwani amekuwa mwiba kwa serikali.
Hivi kwa nn Mungwana vichwa kama Anna Kilango na huyo Sendeka hawaiti kwenye Kikosi cha miavuli?Au ni mwiba sana kwa mungwana nn?
 
naona Mawaziri wamepewa ajenda ya kulimaliza suala EPA na Rich Monduli............ndio maana wanataka kuzungusha mpira..kwa kisigino....wamejisahau kuwa wamepewa dhamana na wananchi....na anaewapa kichwa pia amewekwa na wananchi...muda utatuambia nini cha kufanya............
 
Keep it up Mbunge mwenye akili timamu ni lazima atetee maslai ya Watu wake na si vinginevyo.
Kama yaliyoandkiwa apa yana ukweli na ni dhamira ya dhati ya hawa wabunge then keep it up.
Aluta Continua
 
Halafu mtu kama huyu ndo ameteuliwa kuwa waziri wa fedha ambako kuna BOT.

Si ndo atazidi kuzichota? maana wapinzani ndo wamezusha kuwa kuna hela zimechotwa...

Muungwa nakupa pole una kazi sana na hao mawaziri wako. Labda uwapeleke tena Ngurdoto.

Kaazi kwelikweli

Usimpe pole muungwana kwani kamuweka hMkulo hapo kwa makusudi kabisa ya kuendelea kuiba, zaidi ya ninamashaka na uwezo wake upstairs.
 
CCM ni moja na msitegemee chochote kutoka kwenye hiyo Caucus yao. Kinachofanyika hapo ni kuwekana sawa tu na in the process kutakuwa na wapayukaji kama Sendeka et al but, mwisho wa siku business as usual mwendo mdundo....

By the way its good to see "tamaa ya fisi kumfuata mwanadamu kwa kudhani mikono yake itaanguka" keep good work na endeleeni kuishi in fantasy!

Ahh yego!!Kutiki go?

Kuna mtu mpaka alikuanzishia thread kule kwenye matangazo akiuuliza uko wapi..

Karibu chilio yego!!
 
Kwani? huku kwenye pesa fedha kuna nini? Naambiwa Gavana kutoka Moro, Waziri kutoka Moro. cha kushangaza leo naangalia kamati ya Fedha nauchumi, naona pia wajumbe kadhaa,kama vili to mention but a few, Sadiki, Mwenegoha, Mzeru,....... from moro why? ndio maana wanapata mda wa kuweza kuafikiana kwa kuwa wanajuana? ............
 
Kwani? huku kwenye pesa fedha kuna nini? Naambiwa Gavana kutoka Moro, Waziri kutoka Moro. cha kushangaza leo naangalia kamati ya Fedha nauchumi, naona pia wajumbe kadhaa,kama vili to mention but a few, Sadiki, Mwenegoha, Mzeru,....... from moro why? ndio maana wanapata mda wa kuweza kuafikiana kwa kuwa wanajuana? ............

mmh haya mambo sasa ni kubebana tu..hii utaathili sana utendaji wa kazi.
 
hatutaki tisha toto hapa.........tunataka kuona shilingi inakamatwa kutoka Wizara husika Kutokana na hasara za EPA, Richmond na Rada
 
Mimi bado sijawa na imani sana na hii hatua. Maana kadiri hali ninavyoiona ni kwamba chama tawala kiko juu kabisa katika mfumo wa utawala; ikifuatiwa na serikali. Bunge na mahakama vinaburutwa tu.

Labda yawezekana katika kundi la mafisadi elfu, kunaweza kutokea wenye nia njema wawili. Huwezi kujua.

Mkuu usikate tamaa, naamini ni mwanzo huu huu ndio utakaotufikisha tutakako, mi sijali nani anaongea ili mradi ananiwakilisha vzr na kutetea maslahi yangu kama mwanchi mwenye kiu ma maendeleo ya nchi yangu..

Natumaini kabisa kuwa huu upinzani wa CCM ndio utakuwa chocheo la maendeleo, hebu imagine wapinzani wapige tuu kelele peke yao bungeni halafu watu kama kina Ole Sendeka wakae kimya au kukubali kuwa EPA na Richmond ni hoja ya wapinzani, tungefika kweli???

Mpaka hatua hii na yaliojiri kwenye kikao hiki cha jana, Am sooo Optimistic na hawa CCM MPz...

TUTAFIKA TUU, ROME HAIKUJENGWA USIKU MMOJA.....
 
Wabunge waliochangia walicharuka na kusema, "Hatutaacha kujadili EPA na Richmond hadi kieleweke" maana kwa sasa hizo ni ajenda za wananchi ambao wanataka majibu sahihi na hatua kuchukuliwa..... Walisema hizo si ajenda za wapinzani kama Waziri mmoja alivyosema...... Mwingine alisema CCM ina matabaka yaani, A,B na C, wakikumbushia kuhusu tuhuma za rushwa dhidi ya wabunge wa CCM Arusha ambao walituhumiwa kutoa rushwa ya Sh 400,000 na walizuiwa na CCM kugombea nafasi ya Uenyekiti mkoa na NEC kupitia mkoa. Wanasema wao bado ni watuhumiwa na walikubali maamuzi ya chama, leo hii wanaotuhumiwa kuhusika Richmond, EPA na Rada tena kwa maamuzi ya BUNGE na WAKAGUZI HALALI wanaendelea kuwa wajumbe wa vikao vya juu vya CCM ikiwa ni pamoja na KAmati Kuu, NEC na mmoja ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Chama!!!!

Kazi mwaka huu ipo....

Duh, Hilo ni goli la Maradona la Mungu! Tayari jamaa wanaanza kufunga magoli kwa kuvunja offside trick!

Hoja imeshapokonywa tongeni mwa Wapinzani! Kampeni ya CCM kwa uchaguzi wa 2010 imeanza Rasmi!
 
Courtesy of competitively contrasting and combative contesting courtesants.

Mmhhh! Pundit mkuu...Ipakepake mafuta lugha yako ilainike kidogo.....
Lugha ya mwenyewe Zinjanthropas hiyo..
 
Huyu Ole Sendeka namwaminia sana.
Uchaguzi ujao wanaweza wakaliengua jina lake kwani amekuwa mwiba kwa serikali.
Hivi kwa nn Mungwana vichwa kama Anna Kilango na huyo Sendeka hawaiti kwenye Kikosi cha miavuli?Au ni mwiba sana kwa mungwana nn?

SISIEMU si chama pekee ambacho kinaweza kukupa jukwaa la kuwakilisha maoni, mawazo na matakwa ya wananchi. Hivyo kama wakiondoa jina lake kifisadifisadi kuna vyama vingine ambavyo vyaweza kuwakilisha wananchi bungeni. Na wenyewe wabunge wa SISIEMU waonyeshe support ya hoja ya kuwa na wabunge binafsi bila kupitia vyama vya siasa. Naamini hapo wabunge watazidi kuwa na sauti.

Kuwaweka hawa wabunge kwenye kikosi cha Miavuli itakuwa ni kama vile kuwafunga midomo. Ngoja wakae kwanza kwenye Ubunge waipelekeshe puta serikali ya JK ili wananchi wapate mwanya wa kupata majibu sahihi ya Upupu unaoendeshwa na serikali ya JK.
 
Hila tuangaliye yasiwe yakaishia tu kuongea au yakawa yale ya G55 wakati akina marehemu Kinyondo walipoelekea kuongea hata kikwao na mwisho wa siku mambo yakaendelea kama vile serikali ilivyokuwa ikitaka.
 
Mkullo si mkweli hata katika kumwangalia usoni .Upstair he is empty kila mmoja anajua lakini kwa ushikaji basi kapewa hazina waweke mambo sawa .JK ananimaliza .Mimi nilisha tabiri kwamba Gorbachieve wa Tanzania na ndani ya CCM ni JK kama huamii tulia utaona .Haweza kugeuza gari hili maana kasi yake ni kubwa sana .
 
Nawashuku sana wachangiaji wote, hasa wale wanamuunga mkono Ole-sendeka kwa ujasiri wake.
Ebu tumuunge mkono waziwazi basi kwa kufanya mawasiliano nae moja kwa moja. Unajua sasa yuko bungeni, inawezekana anapotoka hapati muda wa kingia kwenye JF. Tuwasiliane nae basi.
Simu yake ni [B]+255 784 313146[/B] e-mail csendeka@parliament.go.tz . Waweza kupata yote haya toka kwenye website ya bunge www.parliament.go.tz
Tumtumie angalau ka sms kafupi ili ajue watz wengi tunamuunga mkono. Hii itampa moyo sana na anaweza kuoto hizo sms kama ushahidi wa watz wanaomuunga mkono katika hoja hii.
 
Hii ni kikao cha kuwekana sawa wanaambiwa haya jamani pigine kelele kuwa furahisha wandanganyikwa and then ipitisheni hio bajeti....kama kawaida yao utasikia "naunga hoja mia kwa mia lakini....". Ndio hayo hayo tutayasikia
 
Back
Top Bottom