Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hamjasema,Kwa upepo wa kisiasa unavyo vuma hivi sasa, Makonda ni mtu sahihi kueneza sera za chama tawala kuelekea uchaguzi mkuu
Uzuri wa Makonda ni proactive
Ushauri wangu ni huo
Makonda na Polepole warudi kundini harak sana
Hivi viazi zero kabisa alishindwa Magu Tundu Lissu mashine kubwa sana ile, mama atarudi kwao Kizimkazi akauze urojo.Makonda na Polepole warudi kundini harak sana
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣😂😂Hivi viazi zero kabisa alishindwa Magu Tundu Lissu mashine kubwa sana ile, mama atarudi kwao Kizimkazi akauze urojo.
napenda kukomenti kwa watu wenye akil kama wewe nduguhuyo makonda stahili za siasa zake hazina tofauti sana na Magu au Lissu ni watu wenye nyota kali ya kupendwa,wanasikilizwa,wanaogopwa na wana mamlaka pia wala hawaitaji kusombewa watu kwa malori kuja kuwasikiliza ..hivyo watu dizaini hiyo ni rahisi sana kung'ara zaidi ya boss kitu ambacho huko ccm hakitakiwi kumzidi umaarufu boss..huyo hawezi pewa hio nafasi yenye kumruhusu kuzunguka nchi nzima atamu outshine boss na vile boss mwenyewe alivyo mweupe hanaga hoja zenye mvuto zaidi ya mipasho tu atafunikwa vibaya mno
Makonda hana adabu hata ukuu wa mkoa bado hakustahiliKwa upepo wa kisiasa unavyo vuma hivi sasa, Makonda ni mtu sahihi kueneza sera za chama tawala kuelekea uchaguzi mkuu
Uzuri wa Makonda ni proactive
Ushauri wangu ni huo
Makonda na Polepole warudi kundini harak sana
Hii comment ni kama imeongea kila kitu nilichokuwa nawaza.huyo makonda stahili za siasa zake hazina tofauti sana na Magu au Lissu ni watu wenye nyota kali ya kupendwa,wanasikilizwa,wanaogopwa na wana mamlaka pia wala hawaitaji kusombewa watu kwa malori kuja kuwasikiliza ..hivyo watu dizaini hiyo ni rahisi sana kung'ara zaidi ya boss kitu ambacho huko ccm hakitakiwi kumzidi umaarufu boss..huyo hawezi pewa hio nafasi yenye kumruhusu kuzunguka nchi nzima atamu outshine boss na vile boss mwenyewe alivyo mweupe hanaga hoja zenye mvuto zaidi ya mipasho tu atafunikwa vibaya mno
Mkuu kwani sasa yupo nani??Hii comment ni kama imeongea kila kitu nilichokuwa nawaza.
Chakuongezea tu.
Makonda hawezi kukaa chini ya mzanzibari. Siasa za Bara ni za moto hasa kitu ambacho Samia anatakiwa ajihoji sana kama anataka ccm ivuka ama iishie mikononi mwake.
Hizi siasa wakati mwingine zinahitaji dodoki, (please use social inference), kama huna dodoki ,.......Kwa upepo wa kisiasa unavyo vuma hivi sasa, Makonda ni mtu sahihi kueneza sera za chama tawala kuelekea uchaguzi mkuu
Uzuri wa Makonda ni proactive
Ushauri wangu ni huo
Makonda na Polepole warudi kundini harak sana