CCM msaidieni chawa wa Samia Kigogo 2014 aelewe Sheria za Nchi na aache kupost asivyovielewa huko X

CCM msaidieni chawa wa Samia Kigogo 2014 aelewe Sheria za Nchi na aache kupost asivyovielewa huko X

Nakuhalikishia hata nikikupa miaka 5, huwezi kuniletea hicho kifungu kinachosema hayo.

Wewe ni mjinga na kwa sababu siwezi endelea kupoteza muda wangu kujibishana na mjinga, naishia hapa.
wewe ni mjinga wa mwisho kabsa
 
Nazidi kukuthibitia kuwa wewe ni mjinga kwa kukwambia hata nikikupa miaka 4 au tuseme 100 huwezi kunipa uthibitisho wa hicho kitu unachokisema.
Easy tu kubali kuwa ww ni mjinga then nikuelimishe kwa kukuletea ushahidi enewei kwa kukufungua bila kupitia hio sheria jaribu hata kugoogle uangalie conditions za whistleblower worldwide
 
Back
Top Bottom